Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,016
Ni usiku mwingine, kwa wanafamilia baba mama kama upo nyumbani mida hii ubarikiwe sana and God bless you for being responsible. Nakama upo mihangaikoni pia barikiwa sana lakini nyie mliopo kwenye konakona nyie mungu anawaona.
Mtu mwenye akili timamu haiti waume/ wake za watu petty names. Huwez kuwa mwenye adabu na unaita mume/ mke wa mtu switie, baby, honey, mpenzi na mkikutana kama ni ofisini unajibebisha na kujidekeza kabisa na halafu unasema ni utani....Haya mautani baadae yanageukaga yanakua kweli. Unaweza kumtania tania namna hiyo na ukute kwake hajaitwa namna hiyo tangu walipofunga ndoa, ukute kwake hafanyiwi hivyo akaamua kufanya kweli na ukashindwa kujitoa. Wengine mnatania tania kumbe moyoni mnaombea iwe kweli. Fanya utani kwingine lakini sio waume/ wake za watu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Heshimu ndoa za watu. And viceversa is true...
Wanaume mnalijua hili ''!??? Wanawake tunapenda na tunafurahi sana kuona waume zetu mpo nyumbani usiku fulani hivi wa kutatanisha. Hata kama tumetofautiana ule uwepo wako nyumbani mapema tu kimoyomoyo tunakua na amani hata mambo yanaeza soviwa bila hata nyie kujua.
Tanzania bila michepuko Inawezekana!
Tukubaliane mambo mengine hayatupeleki mbinguni!
Nihayo tu kwaleo