marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Hapa kuna mtu kachungiliwa kifua au ndiyo kilikuwa kifunguliwe. Kwanza asilimia kubwa wanaume huwatongoza wanawake . hapi hapatofautiani na mtu kutuma maombi ya kazi.na pindi unapotima maombi kuna mawili upate au usipate. Hivyo basi wewe ni mke wa mtu ambaye tayari unajua hakuna nafasi ya mwanaume mwingine kwa nini ukubali kuchezewa? Akipita huyo ukihama ofisi atapita tena na mwingine. Wanawake mnajua udhaifu wa mwanaume ni mwanamke kwa nini ujirahisi?
Wanaume kweli wengi ni wakware na vichwa vyao vyote vinafanya kazi kwa haraka na vinaweza kusababisha faida au hasara kwa mhusika. Kichwa cha chini kikidhamiria kinahonga hata gari kupitia kichwa cha juu,hivyo wanaume tujitahidi kukinzana na hii hali ya kichwa cha chini. Baadhi wanasema short call ni tamu ila inamadhara sana