Utani utani mwisho huwa kweli..

Utani utani mwisho huwa kweli..

Mahondaw mbona wewe unajibebisha kwa smart911 au nimekosea?
 
Utani utani...mara ooh,nilifikiri wewe na kasie ni drama...kumbe moyoni anatamani goma

Inaelekea goma la Smart911 sio la mchezo mchezo. Viuno vya Kasie vilikuwa vinavuja grease maana vilikuwa havizunguki nyuzi 360.

Huyu mahondaw sijui kapatwa na nini sio mahaba yote haya maana naskia mwanamke ukipateka hapo chini ata umtumbukize mtoni atakukumbuka tu kama mshahara
 
Mfyuuuu zako mimi sio kiboko[\color] mimi binadamu ehhhh unikome kunifanananisha na mnyama maana maana naye paka anaitwa mzazi na vile vile binadamu
umeniua....eti mimi sio kiboko
 
Utani ni kama chumvi katika maisha, ila kweli uwe na kiasi
 
Inaelekea goma la Smart911 sio la mchezo mchezo. Viuno vya Kasie vilikuwa vinavuja grease maana vilikuwa havizunguki nyuzi 360.

Huyu mahondaw sijui kapatwa na nini sio mahaba yote haya maana naskia mwanamke ukipateka hapo chini ata umtumbukize mtoni atakukumbuka tu kama mshahara
Duh! Aleppo una mambo.
 
Nimechange .....ila wewe mkaka ni hatari unamichambo kama Mzaramo

usije ni chamba namie

Jamani mimi mpole ujue sema sipendagi mtu anichokoze maana nashuka maneno kama na kipindupindu.

Kwani mimi mchokozi humu jukwaani dada malyakishu?
 
Mfyuuuu zako mimi sio kiboko[\color] mimi binadamu ehhhh unikome kunifanananisha na mnyama maana maana naye paka anaitwa mzazi na vile vile binadamu
Heeeeeeee naona umepanic meeeeen........nani kakufananisha na kiboko au haujui kiswahili
 
Heeeeeeee naona umepanic meeeeen........nani kakufananisha na kiboko au haujui kiswahili

Sijui kiswahili ehh? naona unanichokonoa eti nime panic ehh endelea kidogo utanielewa maana mimi sibembelezagi kama wengine humu jf
 
Back
Top Bottom