happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Hizi sasa kashfa jamaa kasema ana 23 bado unasema ni mtoto?
Bado ana UTOTO, ana umri mkubwa kinamba lakini hajakuwa na kujua jinsi ya kuhandle mpenzi.
Hizi sasa kashfa jamaa kasema ana 23 bado unasema ni mtoto?
kweli mkuu hata kama tukisema kila mmoja achukue madem watano bado watazagaa tuu
tongoza[\color] demu mwingine
Habari wanajamii,
Kama heading inavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 majuzi hapa nilikuwa na chat na mpenzi wangu WhatsApp ila katka maongezi yetu akaleta utani ambao mimi sikuwa naelewa kama ni utani tu kwasababu hakusema mwishoni kama alikuwa ananitania, basi na mimi nikaanza kumwambia kuwa hunivutii.
Kwanza huna shepu tukisema tukuvue nguo shepu yako ni ya kiazi, basi mi nikalala sasa asubuhi namcheki naona kimyaa ikanibidi nimpigie, alichonijibu ni hatari ndo maana nipo hapa, je nilifanya makosa kumtania vile au alikuwa ananitafutia kisa tuu? Na nifanyeje ili nirudiane nae?
Ushauri wenu please
Pitia maelezo hapa.
At 23 nilikuwa bize sana na maisha kuhangaishwa na watoto wa kike aisee...! sijui lakini
Mimi nilikuwa bize natafuta mbao za kuchonga kitanda.............vijana wa sasa hivi ni majanga.........
eti shepu kama kiazi........khaaa...........
Huu utandawazi kibongobongo nahisi unaturudisha nyuma zaidi ya kutupeleka mbele kimaendeleo!
IN OTHER NEWS: Nimekumiss sana pacha angu...
My twin unapotea sana wewe.......kama hivi utakuja tena hapa siku kama ya leo mwezi ujao........sio poa ujue........