Utani umenikosesha mpenzi

Utani umenikosesha mpenzi

Kilichokukosesha mpenzi sio utani, ni UTOTO

Ni kweli ni utoto tu umemkosesha dogo mpenzi. Hawa madogo wanaokua bado hawana uelewa wa kutosha kuhusu saikolojia ya mwanamke kwenye mahusiano.

Unaweza kumtania mwanamke kwenye kila kitu ila sio kwenye maumbile yake, hapo unatafta ugomvi na mwisho atakuacha.

Kumwambia mwanamke ulielala nae sio mtamu,sio mzuri,havutii nk unamkatisha tamaa kabisa na kumvunja moyo, pia unakua umemdharau na kumdhihaki kwa kiwango cha juu sana ambacho hatavumilia kua nawe tena.

Mwanamke ni maumbile yake,kusema chochote kibaya kuhusu maumbile yake hata kama unatania hakukubaliki kabisa na hakubumuliki, lazima atakuacha tu.

Nakumbuka wakati naamza mahusiano hivi siku moja nikamtania mpenzi wangu kwamba utamu wa chai sio rangi ni sukari, alimind kinoma na akaniacha, nikajifunza kwamba wanawake hawataki utani kwenye miili yao.
 
we, matani gani hayo??!!!!!...hapana, pple in a relationship dont have those kinds of jokes,..khaaaa...tafuta tu mwengine
 
Kinacho tofautisha utani na reality ni the tone of the conversation u are in.

Hata ikiwa in texts....u can easily sense the tone of someone's talk. Be careful wit that. Si tu baina ya marafiki. Hata unapoongea au kutaniana na mzazi wako, mind ur tone.

Wazazi wengi wakichukia wanakaa kimya utaona reaction yake imebadilika na mtu unakua ushaji chumia viji laana/nuksi. Ukiona hvyo jifanye mjinga na kumuomba radhi papo hapo.
 
Kukoxea ndo kujifunza so mpaka xaxa umeshajua kuwa umekosea wapi na ukumbuke hawa ni viumbe wa ajabu ya kupaxa uishi nao kwa akili
 
Mwanamke hata akutanie vipi, wewe usimrudishie utani wa kijinga. Kwa kwako ni utani kwake ni dharau na maudhi.
 
there is hidden truth behind "just kidding"..usipende kuwatania wasichana kuhusu maumbile yao mkuu..coz most of girls are so insecure with their bodies..dont joke with them
Nmekupenda bure lol
 
At 23 nilikuwa bize sana na maisha kuhangaishwa na watoto wa kike aisee...! sijui lakini

usikute bado anamuomba baba pesa ya matumizi na anakaa kwao...

vijana wa sikuhizi priority wameweka kwenye mambo ya kipuuzi kabisa
 
Hahahahhaahahahhah....kwa hiyo unaniambia umemuambia dem wako yeye ni kama kiaz
 
Hahahahaha eti shape yake ni kama kiazi mambo mengine bhana yanachekesha kweli yani, ila pole kwa yaliokukuta, cku nyingie uwe unafikiria kwanza alafu ndo uongee
 
Sasa wewe umemwambia ukweli wala sio utani.. uskute kweli ana shepu ka kiazi Mbatata
 
Hahaha ujue inategemea na utani wenyewe na mtu unayemtania. utani unaokaribia na ukweli watu wengi hawapendagi. Unakuta mwenzako kweli ana irregular shape afu umtanie ana shape ya kiazi, hahahah lazima ununiwe
 
hivi ukimuambia kim kardashian au beyonce una shepu ya kiazi atakasirika au atavunjika mbavu?ni dhahiri huyo dada ana shepu ya kiazi ndio maana kakasirika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom