Utani umenigharimu, nipo njia panda

Utani umenigharimu, nipo njia panda

Mabaharia huwa hatuogaopagi kuogelea kiss tu, upepo wa bahari umekithiri unapambana nao hvovo
 
Dah kama hii Mimi pia imenikuta juzikati,nilienda mkoa flan kijijini huko basi nikafikia kwenye nyumba ya ndugu ambayo haitumii sababu anakaa town na kule ni kijijini ila ameajili mabinti wawili wakukaa pale ili waitunze nyumba.basi baada ya mishe za kutwa nzima za kile kilichonipeleka kule usiku nikaenda kulala,kuna binti mmoja mzuri nikamtania mgeni nalalaje peke yangu,akanijibu lala tu hamna tatzo mbona,nikamwambia huku ugenini bwana sijui kama usiku kuna wanga au vipi naogopa kulala peke yangu jamani,akacheka namm nikaingia chumbani,ile namaliza kutandika na kuweka neti nikasikia mlango umegongwa kufungua ni yeye,nikajua utani ushakuwa kweli,basi sikuwa na jinsi nikamkaribisha akaingia ktk neti nikazima taa nikala mzigo.
hali ya mmbu usiku huo ilikuaje mkuu
 
Tatzo wahuni kibao wanakula Mzee nisije kufa kizembe
Huyo dame wako aliye chuo unajua huko chuo analiwa na nani na nani?,mambo mengine buana?,utafikiri hujui jinsi wasichans walioko vyuoni wanavyomegwa
 
Dah kama hii Mimi pia imenikuta juzikati,nilienda mkoa flan kijijini huko basi nikafikia kwenye nyumba ya ndugu ambayo haitumii sababu anakaa town na kule ni kijijini ila ameajili mabinti wawili wakukaa pale ili waitunze nyumba.basi baada ya mishe za kutwa nzima za kile kilichonipeleka kule usiku nikaenda kulala,kuna binti mmoja mzuri nikamtania mgeni nalalaje peke yangu,akanijibu lala tu hamna tatzo mbona,nikamwambia huku ugenini bwana sijui kama usiku kuna wanga au vipi naogopa kulala peke yangu jamani,akacheka namm nikaingia chumbani,ile namaliza kutandika na kuweka neti nikasikia mlango umegongwa kufungua ni yeye,nikajua utani ushakuwa kweli,basi sikuwa na jinsi nikamkaribisha akaingia ktk neti nikazima taa nikala mzigo.

Safi kinga ulikumbuka
 
Mkuu Mimi nina Demu wangu ambae yupo chuo na nina uwezo wa kupiga mpaka gemu 10 bila kupumzika tatzo ni kujikinga na kuacha tamaa za mda zitakazokupelekea upoteze ndoto zako zote kifp huyu dem kicheche alafu ndom ataki

Wadau tunauliza dukani ni mbali mno kufata ndom?
 
Juzi kati nimeamka zangu asubuhi na mapema kutoka zangu nje nikamkuta Demu nyumba ya jirani anafagia uwanja full mauasafi ikanibid nimpe hai japo sikuwa na mazoea nae kabisa.

Nikamwambia"mambo' akanijibu poa nikamtania "best sijalala usiku mzima yaani nina ukame balaaa "akacheka akaniambia kumbe na wewe ni muongeaji! nikamwambia ndio hivyo yaani nina nyege za dunia daa kwa hiyo akaniuliza? Nikamjibu nipe tiba nipate usingizi... akacheka nikajua yameisha nikaingia zangu ndani nae akaenda ndani kwake.

Ghafla baadae kidogo mara nikasikia hodi heee kumbe kaja kweli mpaka chumbani ameshaoga safii daa akaniambia sasa nimekuja kukupa huduma looo nikashangaa akaanza kunishika shika nikaduaa mara akavua nikaanza kujiuliza nile au niache maana sikuwa na kinga hlafu mbona kawa lahisi hivi nikajiuliza maswali au ana ngomaa huku naendelea na amelowa balaaa macho yake yamebadilika hana nguvu nikaona weee nisije kufa kizembe.

Nikamwambia Xxxx Mimi Sina kinga na wewe huna kinga tufanyeje akasema tufanye hivyo hivyo nikamwambia hapana Sasa ikiwa mmoja wetu anangoma si tutaathirika kizembe akasema mimi mzima mh nikafikiria nikamwambia bila kinga Mimi siwezi kufanya huu mchezo"mara akawa mbogo yaani ushanichezea na kuniona mwili wote na umenipandisha nyege halafu uniache sikubali,akataka kutumia nguvu nimle kilazima nikamsukuma nikatoka zangu nje.

Basi alilia sana baadae akatoka akaenda nyumbani kwake nikajua yameisha kesho yake aliponiona akaniambia atanitangaza Kwamba mimi ni HANISI daaa na akanipa siku mbili aidha nimle au anitangaze mtaani.

Nilimplease sana akakataa akasema tena ataanza kunitangaza kwa ndugu zangu basi nikamwambia tukapime Ngoma akakataa tena akasema hata hiyo condom hataki anataka kavu kavu.

Nimejiuliza Sana kwanini hataki kinga wala kupima halafu kuna masela tofauti totauti wanakuja pale kwake daa nimechanganyikiwa nile au nikubali kashfaa.

Wadau naombeni mnisaidie maana pale mtaani kuna wamama tunaheshmiana nao sana maana hata leo asubuhi wakati naenda zangu job akanikimbilia na kunambia eti leo mwisho nichagulie kusuka au kunyoa kesho matangazo yaanza rasmi.
inavyoonekana hufanyi kazi mzee baba. muda wa kushikana shikana asubuhi unaupata wapiii
 
Tena Mpige makofi ili akatangaze vizuri.
 
kweli watu mnaishi uswahilini, kwani akikutangaza wakati siyo hivyo utapungukiwa nn!!
Yeye haoni kama anapungiziwa majaribu, inaonekana anapenda sana hayo mambo. Maisha ya sasa ni one mistake, one goal. Akisikiliza kelele amekwisha.

Vv
 
Hata hivyo inavyoonyesha utakuwa sio mzima wewe! Unaletewa hadi ndani...!
 
Back
Top Bottom