MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,662
- 13,859
Wanawake wengine sio wa kutania, kama switch ukigusa imewaka
Hata hivyo inavyoonyesha utakuwa sio mzima wewe! Unaletewa hadi ndani...!
Good..Dah kama hii Mimi pia imenikuta juzikati,nilienda mkoa flan kijijini huko basi nikafikia kwenye nyumba ya ndugu ambayo haitumii sababu anakaa town na kule ni kijijini ila ameajili mabinti wawili wakukaa pale ili waitunze nyumba.basi baada ya mishe za kutwa nzima za kile kilichonipeleka kule usiku nikaenda kulala,kuna binti mmoja mzuri nikamtania mgeni nalalaje peke yangu,akanijibu lala tu hamna tatzo mbona,nikamwambia huku ugenini bwana sijui kama usiku kuna wanga au vipi naogopa kulala peke yangu jamani,akacheka namm nikaingia chumbani,ile namaliza kutandika na kuweka neti nikasikia mlango umegongwa kufungua ni yeye,nikajua utani ushakuwa kweli,basi sikuwa na jinsi nikamkaribisha akaingia ktk neti nikazima taa nikala mzigo.