UHANITHI upo wa aina nyingi. Upo wa maumbile au wa akili, ama vyote kwa pa1.
Kuulizauliza maswali ya kipumbaf pumbaf hata kwa mambo madigomadogo kama hayo ni uhanithi wa akili na mwili.
Mtoririko mzima wa simulizi yako ni wa mwanaume hanithi dhahiri.
Eti kwanini akubali harakaharaka!
Je kama naye wewe ulikuwepo kichwani mwake akiwa anakushobokea na kukupigia mahesabu, kwanini ulazimishe akuzungushe?
Jambo la kufanya mapenzi voruntalily ni lako binafsi. Hauwezi kutoka nje ya mlango wa chumba chako na kuanza kuropoka hadharani kwa kushindwa ama kuweza kwako, kama ulivyofaha hapa jf.
Suala la kufuata condom kwa mpemba haliwezi kuchukua muda wa siku3 nzima kabla hauja exucute your lust. Ulikuwa unamtania, una utani naye tangia lini na kwa nini umtanie, kwa faida ya nani?
Kinga ndiyo nini? Unaelewa kujikinga wewe, au umeamua kumdhalilisha tu huyo dada kwa kukuonesha kwake ushirikiano usio hiyana?
Unajikinga nini ukivaa condom kiumeni ukauacha mdomo ukila denda la homa ya ini?
Upi ni ugonjwa hatari kuliko mwingine kati ya hayo kwa kulenga kwako condom tu?
Umeonesha mapungufu makubwa kwa mwanaume. Wacha tu huyo dada akutangaze udhaifu wako, maana hamna namna, hauwezi na haufai !