Utani umenigharimu, nipo njia panda

Utani umenigharimu, nipo njia panda

Umeomba kazi ukapewa kazi then ukashindwa kufanya kazi,umetuaibisha mabaharia
Juzi kati nimeamka zangu asubuhi na mapema kutoka zangu nje nikamkuta Demu nyumba ya jirani anafagia uwanja full mauasafi ikanibid nimpe hai japo sikuwa na mazoea nae kabisa.

Nikamwambia"mambo' akanijibu poa nikamtania "best sijalala usiku mzima yaani nina ukame balaaa "akacheka akaniambia kumbe na wewe ni muongeaji! nikamwambia ndio hivyo yaani nina nyege za dunia daa kwa hiyo akaniuliza? Nikamjibu nipe tiba nipate usingizi... akacheka nikajua yameisha nikaingia zangu ndani nae akaenda ndani kwake.

Ghafla baadae kidogo mara nikasikia hodi heee kumbe kaja kweli mpaka chumbani ameshaoga safii daa akaniambia sasa nimekuja kukupa huduma looo nikashangaa akaanza kunishika shika nikaduaa mara akavua nikaanza kujiuliza nile au niache maana sikuwa na kinga hlafu mbona kawa lahisi hivi nikajiuliza maswali au ana ngomaa huku naendelea na amelowa balaaa macho yake yamebadilika hana nguvu nikaona weee nisije kufa kizembe.

Nikamwambia Xxxx Mimi Sina kinga na wewe huna kinga tufanyeje akasema tufanye hivyo hivyo nikamwambia hapana Sasa ikiwa mmoja wetu anangoma si tutaathirika kizembe akasema mimi mzima mh nikafikiria nikamwambia bila kinga Mimi siwezi kufanya huu mchezo"mara akawa mbogo yaani ushanichezea na kuniona mwili wote na umenipandisha nyege halafu uniache sikubali,akataka kutumia nguvu nimle kilazima nikamsukuma nikatoka zangu nje.

Basi alilia sana baadae akatoka akaenda nyumbani kwake nikajua yameisha kesho yake aliponiona akaniambia atanitangaza Kwamba mimi ni HANISI daaa na akanipa siku mbili aidha nimle au anitangaze mtaani.

Nilimplease sana akakataa akasema tena ataanza kunitangaza kwa ndugu zangu basi nikamwambia tukapime Ngoma akakataa tena akasema hata hiyo condom hataki anataka kavu kavu.

Nimejiuliza Sana kwanini hataki kinga wala kupima halafu kuna masela tofauti totauti wanakuja pale kwake daa nimechanganyikiwa nile au nikubali kashfaa.

Wadau naombeni mnisaidie maana pale mtaani kuna wamama tunaheshmiana nao sana maana hata leo asubuhi wakati naenda zangu job akanikimbilia na kunambia eti leo mwisho nichagulie kusuka au kunyoa kesho matangazo yaanza rasmi.
 
Kubali kashfa
 
Mkuu wewe ushamtangaza tayari acha na yeye akakutangaze tuu hakuna namna
 
Huu ni ufala sasa jf siku hizi imejaa Uzi za kijinga sana.
 
Mkuu uwekege kinga kwajili ya dharura kama hizo. Ila kupata ngoma sio rahisi kama unavyofikiri. Hongera kwa kumshinda shetani mie nisingeweza. Kuukwepa mzigo kwa staili hiyo kuna mawili, either umeimrlika kiroho au member wa chaputa
 
Juzi kati nimeamka zangu asubuhi na mapema kutoka zangu nje nikamkuta Demu nyumba ya jirani anafagia uwanja full mauasafi ikanibid nimpe hai japo sikuwa na mazoea nae kabisa.

Nikamwambia"mambo' akanijibu poa nikamtania "best sijalala usiku mzima yaani nina ukame balaaa "akacheka akaniambia kumbe na wewe ni muongeaji! nikamwambia ndio hivyo yaani nina nyege za dunia daa kwa hiyo akaniuliza? Nikamjibu nipe tiba nipate usingizi... akacheka nikajua yameisha nikaingia zangu ndani nae akaenda ndani kwake.

Ghafla baadae kidogo mara nikasikia hodi heee kumbe kaja kweli mpaka chumbani ameshaoga safii daa akaniambia sasa nimekuja kukupa huduma looo nikashangaa akaanza kunishika shika nikaduaa mara akavua nikaanza kujiuliza nile au niache maana sikuwa na kinga hlafu mbona kawa lahisi hivi nikajiuliza maswali au ana ngomaa huku naendelea na amelowa balaaa macho yake yamebadilika hana nguvu nikaona weee nisije kufa kizembe.

Nikamwambia Xxxx Mimi Sina kinga na wewe huna kinga tufanyeje akasema tufanye hivyo hivyo nikamwambia hapana Sasa ikiwa mmoja wetu anangoma si tutaathirika kizembe akasema mimi mzima mh nikafikiria nikamwambia bila kinga Mimi siwezi kufanya huu mchezo"mara akawa mbogo yaani ushanichezea na kuniona mwili wote na umenipandisha nyege halafu uniache sikubali,akataka kutumia nguvu nimle kilazima nikamsukuma nikatoka zangu nje.

Basi alilia sana baadae akatoka akaenda nyumbani kwake nikajua yameisha kesho yake aliponiona akaniambia atanitangaza Kwamba mimi ni HANISI daaa na akanipa siku mbili aidha nimle au anitangaze mtaani.

Nilimplease sana akakataa akasema tena ataanza kunitangaza kwa ndugu zangu basi nikamwambia tukapime Ngoma akakataa tena akasema hata hiyo condom hataki anataka kavu kavu.

Nimejiuliza Sana kwanini hataki kinga wala kupima halafu kuna masela tofauti totauti wanakuja pale kwake daa nimechanganyikiwa nile au nikubali kashfaa.

Wadau naombeni mnisaidie maana pale mtaani kuna wamama tunaheshmiana nao sana maana hata leo asubuhi wakati naenda zangu job akanikimbilia na kunambia eti leo mwisho nichagulie kusuka au kunyoa kesho matangazo yaanza rasmi.
Mbona unaandika kama vile una raha sana?
Inaonekana hali hiyo haijawahi kutokea tena kwako yan kwa sasa unajiona bonge la kidume,
Jichunge sana kijana
 
Mwache akatangaze ili madem waje kutest zali uwakung'ute
 
Ndio maana wanasema wanaume wameisha mkuu wamebaki wavulana tuu ndio maana unaona wanawake wanachukua viben10 vikiisha tena hivyo watakwenda kwenye atifisho penisi
UHANITHI upo wa aina nyingi. Upo wa maumbile au wa akili, ama vyote kwa pa1.

Kuulizauliza maswali ya kipumbaf pumbaf hata kwa mambo madigomadogo kama hayo ni uhanithi wa akili na mwili.
Mtoririko mzima wa simulizi yako ni wa mwanaume hanithi dhahiri.

Eti kwanini akubali harakaharaka!
Je kama naye wewe ulikuwepo kichwani mwake akiwa anakushobokea na kukupigia mahesabu, kwanini ulazimishe akuzungushe?

Jambo la kufanya mapenzi voruntalily ni lako binafsi. Hauwezi kutoka nje ya mlango wa chumba chako na kuanza kuropoka hadharani kwa kushindwa ama kuweza kwako, kama ulivyofaha hapa jf.

Suala la kufuata condom kwa mpemba haliwezi kuchukua muda wa siku3 nzima kabla hauja exucute your lust. Ulikuwa unamtania, una utani naye tangia lini na kwa nini umtanie, kwa faida ya nani?

Kinga ndiyo nini? Unaelewa kujikinga wewe, au umeamua kumdhalilisha tu huyo dada kwa kukuonesha kwake ushirikiano usio hiyana?

Unajikinga nini ukivaa condom kiumeni ukauacha mdomo ukila denda la homa ya ini?
Upi ni ugonjwa hatari kuliko mwingine kati ya hayo kwa kulenga kwako condom tu?

Umeonesha mapungufu makubwa kwa mwanaume. Wacha tu huyo dada akutangaze udhaifu wako, maana hamna namna, hauwezi na haufai !
 
Back
Top Bottom