Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Usijali my dia nakuelewa.Vp lakini u hali gani?
Umbea umekujaa utakumbuka saa ngapi kusalimia
Nimekumiss mpenzi wangu Heaven Sent
Na wewe kadada kangu ole na mihayo?!!!!
Hubbypti na wewe, si nimetoka ofisini kwako sasa hivi tu jamani. Please concentrate tu na kazi darlin, mkeo utanikuta tu nimejaa tele. Afu nikupikie nini leo?
Si unajua navyokumiss baby,pika lolote utakachopenda,huwa naenjoy msosi wako unajua kupika vizuri
Awwww mmmmwaaah ntakupikiaje sasa
Mxiiiiiiiiuuuuuuuuuuuu.....!!!!!
sijambo my lovely dada, mzima wewe?Hujambo mdogo wangu mzuri.....