Pole sana utani mwingine unatia mashaka,ilinitokea kama hiyo tukiwa tunapiga story na wote ni marafiki,baada ya mda natafuta simu kila mtu anadai hajaona, baada ya kutafuta wiki lote mmoja akaniambia "ila flani ndo wa mwisho kushika"nikamtafuta nikamwambia nirudishie simu nahitaji as if najua alichukua,naye hakubisha.inakera sana na hizi simu zina siri kibao,unaweza hata kudhalilika,heri apple hata mtu aibe kama hajui password hata aende kwa fundi haiwezekani heri apasue pasue kuficha ushahidi
Yan mtu anakaa na simu ya mtu wiki nzima duuh
Hahaaa omba Mungu usifanyiwe wii
Nina hasira za karibu naweza mpiga mtu.....lol
Utani wa ivyo sipendi yani mimi nna hasira mbona angejuta uyo mtu
Huo ni utani ulivuka mipaka, make sure u set some boundaries katika mahusiano yako na watu walikuzunguka, imagine kama kuna simu ya muhimu ambayo ulikua ukiisubiria ingekuaje, in short rafiki yako alienda beyond sana.
huyo alitaka kukuibia sema alifikiria ataitumia wapi hiyo simu yako...wewe mfuatilie utajua huyo tabia zake ni za kidokozi ila usije sema mimi ni mnajimu Khantwe......
Aiseee utani wa hivyo siutaki kabisaaaa
Hahahah sidhani hana historia hiyo labda kama anataka kuanza....angeweza hata kuiuza maana mitaa tunayokaa iko mbalimbali kabisa