Utangazaji na Documentary writter

Utangazaji na Documentary writter

Gef

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
507
Reaction score
459
Inakuajeee wadau najua Mishe zinasonga tu japo kibishi ama nn sasa Habari ipo hivi Ni mimi uyo mwanenu Natafuta kazi ya utangazaji either wa kwenye Tv au radio mbali tu ya kusoma chuo cha habari DSJ nina kipaji na kazi hyo Mm nimejikita zaidi katika Kutangaza habari za michezo (Local and International) pia ni very creative unajua kuna tofaut kati ya kutangaza na kuongea nikisema nipo unique namaanisha ,, pia vipind vingine vya kijamii nina uwezo wa kufanya,, sina tatizo la L na R maan ndio ugonjwa mkuu,, Production ya radio nafanya ,,makala za soka naandika,, ni mtaalam wa computer pia ..naweza kumanage social media za kituo au taasisi mbal mbal ,,nimeshindwa kujiajiri mwenyewe kwa sababu sina jambo (mtaji) Pia mm ni idea maker mzuri tu napatikana dar es salaam,, mwenye uwezo wa kinisaidia tafadhali dm yangu ipo wazi
 
dah mzee kwa uandishi huu unanipa wasiwasi na taaluma yako....cha kukusaidia fungua YouTube channel,since upo vizuri kwenye creativity andaa maudhui ya kuvutia jamii,sio lazima uwe na camera siku hizi hata simu tu hizi zina quality ya kutosha tu...!!
2.ingia studio,au ji record hata kwenye simu sauti ukitangaza,andika proposal/ideal plan ya kipindi kizuri ambacho unahisi kitafurahisha/kuburudisha au kuelimisha,ambacho hujawahi kukusikia kwenye medias hizi,alafu peleka kwenye redios mbali mbali ikiwemo Wasafi fm au Efm muone mtu anaitwa OJ,jamaa ana roho nzuri sana atakusaidia hata mawazo au connections!!
 
Asant kk huyo OJ yupo efm au wasaf?
 
Huna tatizo la L na R kwa mujibu wako Mwenyewe na Akili zako unazozijua au ni kwa mujibu wa wale watakaokupima Mkuu?
 
dah mzee kwa uandishi huu unanipa wasiwasi na taaluma yako....cha kukusaidia fungua YouTube channel,since upo vizuri kwenye creativity andaa maudhui ya kuvutia jamii,sio lazima uwe na camera siku hizi hata simu tu hizi zina quality ya kutosha tu...!!
2.ingia studio,au ji record hata kwenye simu sauti ukitangaza,andika proposal/ideal plan ya kipindi kizuri ambacho unahisi kitafurahisha/kuburudisha au kuelimisha,ambacho hujawahi kukusikia kwenye medias hizi,alafu peleka kwenye redios mbali mbali ikiwemo Wasafi fm au Efm muone mtu anaitwa OJ,jamaa ana roho nzuri sana atakusaidia hata mawazo au connections!!

Kwani ukisema tu kuwa huyo Jamaa OJ ndiyo Wewe Mkuu utapungukiwa na nini?
 
  • Thanks
Reactions: Gef
Kama kutangaza pia unatumia mbinu ya uandishi kama huu, basi kweli unakipaji mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Gef
Una diploma? Maana nasikia siku hizi bila diploma hakuna kutangaza.
 
Asa umecheka nn baba ake
 
Ungetupa sample za kazi zako tuone. Wazungu wanaita PORTFOLIO
 
Back
Top Bottom