Amedeus Somi
Member
- Aug 27, 2016
- 65
- 22
Hellow Wandugu!
Poleni na Majukumu ya kutafuta tonge. Moja kwa moja niende kwenye kiini husika bila kupoteza wakati. Mimi ni Kijana Mtanzania Umri Miaka 25+ Nimehitimu Kozi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari Mwaka 2019, Ila ni kwa ngazi ya cheti.
Nalijua fika agizo la Serikali kuhusu Waandishi kutokuwa kuwa na elimu ya diploma ni kweli. Sikatai na nina mpango wa kuendelea kusoma ila kutokana na ugumu wa maisha ndio unasababisha nisiendelee. Hivyo nimeamua kutafta Nafasi ya Kazi Either Tv Online au Media za Kawaida Tv Cable au Radio.
1. Mimi nipo Vizuri kwenye Kutangaza/Uchambuzi wa Michezo. Vipindi vya Burudani kwa weledi mkubwa tu(nisijitape zipo demos)
2. Ni mwandishi mzuri wa Makala za Michezo.
3. Nina Skills kubwa ya Computer kwa maana ya Graphics and Networking. Nina Uwezo wa Kuendesha Website ya Media au Kampuni yoyote. Kwa sababu pia Nilisomea Kozi ya IT
4. Nina Uwezo wa kupiga icha na ku-shoot video bila kwikwi yoyote
5. Nina Uwezo wa Kuendesha Social Media za Kampuni au Media yoyote Ile.
Nina Exposure ya kutosha.
Nimefanya kazi kwenye baadhi ya makampuni ila kikubwa ni matapeli na hawana heshima kwa mfanyakazi.
Kwa sasa nipo volunteer kwenye kituo kimoja kama mchambuzi wa michezo ila niwe mkweli hawanilipi hata mia na sasa ni mwaka wa pili unaanza.
Nimeona nije kwenu wandugu kuomba kama kuna mwenye nafasi au connection ya uhakika anisaidie. Napatikana Dar es Salaam.