Ni Baba yako mzazi (70-75age), anamtaka housegirl(20-25 age) kimapenzi tena kwa nguvu. Mama yako mzazi(65-68age) yupo; ndg zako wapo na kila mmoja analifahamu hili ila wanaogopa namna ya kumweleza baba.. maana baba ni mkali sana...ungekua wewe ungefanyaje, ungeanzaje kumweleza huyu baba ambae ameshindwa kujitambua???? Nisaidieni.