Utamu

Utamu

ngome

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
235
Reaction score
98
Habari wana jf naomba munijuze kwamakini hili neno utamu lina maana gani na wap mahala sahihi kutumika, maana mtu akila asali husema tamu, akila ndimu husema tamu akifanya mapenz husema matamu, pia akila vtu vya chumvi husema tamu, sasa neno utamu lina maana gani? na wap mahala sahii litumike?
 
Wewe watoka nchi gani, chumvi tamu, ndimu tamu.....?
 
Back
Top Bottom