Hapo ninakubaliana na wewe. Nimeangalia kwenye makamusi maana yake zinalingana na haya uliyosema.Well. . . mi nadhani ni ile hali ya kitu kunoga/kufurahisha nafsi ya mtu.Iwe kwa chumvi, sukari au limao au hata nje ya vitu tunavyoonja kwa mdomo, kikinoga mtu anaweza kusema ni kitamu.
Ndio Mkuu! Mtu akiwa amefurahi atakuwa kwa ndani nahisi raha, na raha ni moja ya hisisa za utamu (Not Ze Utamu - lol).Hivi furaha inaingia kwenye utamu?
Hapa nakubaliana na wewe... neno kusikia linahusisha sense moja tu. Maybe niseme kuhisi utamu kwa kupitia sense or feeling (hii ni limitation inayo tokana na ujuzi wangu mdogo wa lugha ya kiswahili, ila sio ujuzi wangu wa concept. sorry)Huwezi kusikia, kugusa au kuona utamu.
Kusikia utamu ni sawasawa na kuonja muziki, unaweza kuongelea "kusikia utamu" au "kuonja muziki" kama metaphor tu, lakini ulimi hauwezi kuonja muziki kama masikio yasivyoweza kusikia utamu.
Kama Mwali alivyosema kuwa utamu ni hisia (naongeza hisia binafsi), kwa nini maumivu yasiwe utamu ikiwa anayeumia nahisi hivyo? Nimeona "sadomasochists=watu wanaopenda ukatili) wakifurahia kuadhibu/kuadhibiwa wakati wa kufanya mapenzi, wakati tendo hilo hilo kumfanyia asiyependa linakuwa mateso, maumivu, maudhi na karaha. Hata hivyo, ni vyema kuzingatia kiwango cha maumivu anayopata mtu hadi akahisi ni utamu.Kuna positive stimulus nyingine husababisha kudinda (ashakum si matusi) ambako kunaleta maumivu (e.g mkuyati/ viagra).
Hayo maumivu nayo ni utamu?
Brain cells can be excited positively by electric shocks, hiyo feeling ya electric shock nayo ni utamu?
Who can do better now?
kwa hiyo huezi kuskia utamu kwa kuona, au kwa kugusa/guswa, kwa kufikiria, kwa kuvuta hisia? Incomplete definition, try again.
This is better... mwaka mpya unaonekana una mvuto fulani. Asante kwa kuipenda avatar.Ok Mwali. Let me try again.Nilitaja dhana ya mwili kuridhika na hali fulani. Kama utaona kitu au kuguswaguswa na mwili kuridhika huo ni utamu. Hiyo avatar yako naipenda, ni tamu! Lete mpya za mwaka mpya dear.
Ngoja aje Mwali.
Kwa hiyo utamu ni lazima upitie mlango wa fahamu moja au zadi katika hizo tano(senses)? Hakuna utamu umekaa wa kiakili tu? Utamu wa kujadili mfano? Au utamu wa kutafakari? Meditation ina utamu wake wakati per essence meditation ni hali ya kujiinua juu ya milango hiyo ya fahamu.Definition yako nzuri ila nadhani imeshahau the other aspect.Utamu ni general concept ambayo kwa lugha kama kiingereza utamu utaelezwa kwa maneno mengi kugemeana ni utamu wa aina gani na unatambulika na mlango gani wa fahamu kati ya milango mitano ya fahamu ya mwanadamu: ya kuona, kusikia, kugusa,kunusa na kuonja. Utamu utokanao na maonjo, kv. sukari, asali huitwa"utamu" (sweetness). Utamu utokanao na mguso tena mguso wa tendo landoa huitwa raha/starehe (pleasure). Utamu utokanao na kusikia, mfano muziki huitwa burudani au starehe. Utamu utokanao na mnuso huitwa harufu nzuri, mf.manukato. Kwa hiyo neno "utamu" ambalo ni la kiswahili ni box lililofunga concepts nyingi sana ambazo lazima ziibuliwe moja baada ya nyingine, kulingana na aina ya utamu unaoongelewa au kuhisiwa na mtu. Ni utamu wa mlango gani wa fahamu ni wa kitu gani specifically.
Wow! Mwali umenifungua macho. Asante. Ila nadhani utamuu naotokana na intellect au meditation ni mwendelezo wa utamu wa milango 5 ya fahamu. Huwezi – kwa mawazo yangu –kuingia kwenye utamu wa akili au tafakari bila kuanzia kwenye five senses.Mfano, utamu wa meditation unaanza na kuona, kugusa na taratibu mtu anaanzaku-transcend kuingia kwenye ulimwengu usiogusika, na kuonja raha/starehe yapekee mpaka hapo atakapostuliwa na external forces. Vivo hivo utamu wa kiakili, mfano majadiliano, unaanza na mawasiliano (kwa maandishi au kuongea/sauti) naujumbe huu ambao unaamusha majibizano kati ya watu unaweza kuleta raha, faraja(utamu).Kwa hiyo utamu ni lazima upitie mlango wa fahamu moja au zadi katika hizo tano(senses)? Hakuna utamu umekaa wa kiakili tu? Utamu wa kujadili mfano? Au utamu wa kutafakari? Meditation ina utamu wake wakati per essence meditation ni hali ya kujiinua juu ya milango hiyo ya fahamu.Definition yako nzuri ila nadhani imeshahau the other aspect.
Hapo in bold sijakubaliana na wewe, ladba unieleweshe zaidi mkuu!Wow! Mwali umenifungua macho. Asante. Ila nadhani utamuu naotokana na intellect au meditation ni mwendelezo wa utamu wa milango 5 ya fahamu. Huwezi – kwa mawazo yangu –kuingia kwenye utamu wa akili au tafakari bila kuanzia kwenye five senses.Mfano, utamu wa meditation unaanza na kuona, kugusa na taratibu mtu anaanzaku-transcend kuingia kwenye ulimwengu usiogusika, na kuonja raha/starehe yapekee mpaka hapo atakapostuliwa na external forces. Vivo hivo utamu wa kiakili, mfano majadiliano, unaanza na mawasiliano (kwa maandishi au kuongea/sauti) naujumbe huu ambao unaamusha majibizano kati ya watu unaweza kuleta raha, faraja(utamu).
Kwa kiswahili?Lizzy, Globu & Mwali - compare and contrast!
Social Network: A network of personal or business contacts, especially as facilitated by social networking on the internet.
E- forum: electronic forum as above!
A forum of discussion involving a panel of presenters and often participation by members of the audience. It is an electronic (e) message board where users can post messages regarding one or more topics of discussion