kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,151
- 3,088
Wadada weng wanapendelea kifo cha nzi
Hii ni nzuri kama mnatafuta watoto
Wadada weng wanapendelea kifo cha nzi
binafsi naangalia na mtu wa kumpa,mwingine akiomba laki unampa hata laki mbili, ila mwingine akiomba 50k tu unampa 20k ,kwa hadhi yake kwangu,ingawa yeye anaeza kujiona yuko juuSi mlinganyo na niliyopata, mbinu mpya hiyo, hanaje sasa😂 sio miyeyusho na anajua, sistahilije tena jamani🤣 kwani kupewa pesa kunatakiwa uweje lol
Aah wee! Lazima anipe! Khaa🤣hahahaaha,kama ulifanya mlinganyo na umetumia mbinu zako mpya na bado hajakupa ,rejea kwenye yale matatu ,moja wapo ndilo
Jamani hebu naomba unipe hivyo vigezo vyako nianze kujichekecha mwenyewe kwanza haiwezekani mnatugawa kwa makundi kwenye kugawa pesa ila wakati wa kuomba mbunye hamzingatii hayo😁binafsi naangalia na mtu wa kumpa,mwingine akiomba laki unampa hata laki mbili, ila mwingine akiomba 50k tu unampa 20k ,kwa hadhi yake kwangu,ingawa yeye anaeza kujiona yuko juu
hahahahaha,mimi sinaga vigezo vingiJamani hebu naomba unipe hivyo vigezo vyako nianze kujichekecha mwenyewe kwanza haiwezekani mnatugawa kwa makundi kwenye kugawa pesa ila wakati wa kuomba mbunye hamzingatii hayo😁
hahahahaha,ndio sijasema hakupi ila ukiona hakupi , yale mambo matatu moja wapo lichukueAah wee! Lazima anipe! Khaa🤣
Hebu vitaje hapa tuone😁hahahahaha,mimi sinaga vigezo vingi
Hahaaa! Basi mimi naona kila mmoja na mtazamo wake, unaweza usimpe wewe mwingine akampa, au unayempa elfu 20 mwingine akampa elfu 10, ndio maana nauliza mnapima kwa vigezo vipi?hahahahaha,ndio sijasema hakupi ila ukiona hakupi , yale mambo matatu moja wapo lichukue
hapa siwezi kuvitaja hadharani,ni vichache tu, mdada akiwa navyo hivyo aaagh, atanichuna sana mpk watu watasema amenirogaHebu vitaje hapa tuone😁
hahaha,kuna wengine hawastahili hata 10k ujueHahaaa! Basi mimi naona kila mmoja na mtazamo wake, unaweza usimpe wewe mwingine akampa, au unayempa elfu 20 mqingine akampa elfu 10, ndio maana nauliza mnapima kwa vigezo vipi?
Sasa kwani si hatufahamiani jamanii, humu tunajiachia kwasababu tuko nyuma ya ids we unaogopa kufunguka tena🤔hapa siwezi kuvitaja hadharani,ni vichache tu, mdada akiwa navyo hivyo aaagh, atanichuna sana mpk watu watasema ameniroga
Aisee wanaume mna dharau🤣hahaha,kuna wengine hawastahili hata 10k ujue
hahahahaha sasa kama hana vigezo apewe ya nini? hata wadada wanadharau sana ujueAisee wanaume mna dharau🤣
Yani kweli sh elfu 10 ni ya kumnyima mtu🙆🏽♀️
hata kama hatufahamiani ila kufunguka kila kitu ngumu,mengine ya kuongea pembeniSasa kwani si hatufahamiani jamanii, humu tunajiachia kwasababu tuko nyuma ya ids we unaogopa kufunguka tena🤔
Ni vigezo gani hivi mpaka hako kaela unashindwa kumpa mtu😅hahahahaha sasa kama hana vigezo apewe ya nini? hata wadada wanadharau sana ujue
Hmm mimi humu kwakweli najiachia hata sijali wala nini🤣 kama kuna mtu ananizingatia kwakweli atakoma🤭hata kama hatufahamiani ila kufunguka kila kitu ngumu,mengine ya kuongea pembeni
hahahahahaha,sasa unaeza jiachia humu kumbe raia wana note siku anakujua ,anataka kukusaidia akikumbuka unavyojiachia humu ana hawa ndio wale wale wakupewa 10k bila ya kutoleaHmm mimi humu kwakweli najiachia hata sijali wala nini🤣 kama kuna mtu ananizingatia kwakweli atakoma🤭
vigezo na mashari kuzingatiwaNi vigezo gani hivi mpaka hako kaela unashindwa kumpa mtu😅
Aah hapana aisee, yani nijibane huku nje na huku ndanj? Aache tu nitasaidika na walio nje😅hahahahahaha,sasa unaeza jiachia humu kumbe raia wana note siku anakujua ,anataka kukusaidia akikumbuka unavyojiachia humu ana hawa ndio wale wale wakupewa 10k bila ya kutolea