Utamu wa penzi ni yale maugomvi - aisee

hahahaha!
CRAZY THURSDAY.....!

ngoja kidogo nitarudi mpwa.

naingia yutyubu shortly nicikilize ule wimbo wa taarab
 
Mjukuu eti unaijua migubegube? Mimi sijawahi kukutana nayo

Hapo ndo aliponichanganya zaidi maana inataka kufanana na yale maneno anayoyasemaga Bi Kopa kwenye wimbo wake wa taarabu ambayo nikiyaweka hapa ....................tutaharibu sred Babu.
 
MTM.............Vakesheni ya Tanga imekuharibu kaka yangu yaani umekuja na maneno yooote ya taarab!! Eti Magubegube na Kwerekwenini sijui ah

Haya bana ..........ila samahani mie sijaelewa kidogo (Kichwa yangu inaanza kuzeeka kabla ya Mwili aisee)....vijiugomvi hivi ni vile vya kati yako na madame au ni vile vya kutoka kwa vizabizabina na vinyamkera wa pembeni??

Nifunulie kwanza

vile vyangu na la'aziz aisee... naona kama vikitokea come back yake inakua mantashahu aisee
 
Hivi kinyamkera nini?
Isije kuwa ni jina la shetani lol

Hata hivyo viogovi vinaimarisha penzi, hasa pale mnapokoseana halafu mnasameheana.
Ile am sorry sweetie, I I I I didn't.....
Ha ha ha pia kwene kaugomvi ndo unamfahamu mtu vizuri,kwa undani, hekima yake, hasira zake, uongo na ukweli wake, kiburi chake, dharau zake, utu wake nk nk, lakini mkiwa mnacheka tu kila siku, siku likitokea la kutokea ndo utakapoona rangi saba zinatokea.

There you go girl... maana wakuta hata maji ya kuoga yamewekwa vingine ati'
 
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'

Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?

Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?

Hii lugha sijaielewa kabisa jamani... ni kiswahili??
 
Hii lugha sijaielewa kabisa jamani... ni kiswahili??
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:

lile fundo nshalimega na kutema... basi si utamu wa mua ati... si unajua ukila mua ni zaidi ya mswaki?

Mwenda tezi na omo aisee
 
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:

lile fundo nshalimega na kutema... basi si utamu wa mua ati... si unajua ukila mua ni zaidi ya mswaki?

Mwenda tezi na omo aisee

:glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2::doh::doh::doh::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::help::help::help::noidea::noidea::noidea:
 
kwa wastaarabu ndo mwanzo wa kuliboresha ucjekosa laaziz wako na wtu kukushushia hadhi ktk jamii

kwa wasio wastaarabu ndio imetoka hiyo wife atabase kuwa alikosea kuwa na wewe wakat kidume kitaona yanini haya matatizo wakat viburudishio vipo kibao tena cheeeap
 
swahili pure hiyo dada... nimeamka vyema sana leo... :first:

lile fundo nshalimega na kutema... basi si utamu wa mua ati... si unajua ukila mua ni zaidi ya mswaki?

Mwenda tezi na omo aisee

Aisee we MTM, safari ya Tanga mbona uliniacha?

Mzee Yusuf kishapona?
 
kwa wastaarabu ndo mwanzo wa kuliboresha ili usijemkosa mamsapu ama mume kwa ajili ya maisha yako,familia kwa ujumla...........
kwa wasio wastaarabu ndo imetoka as wife ataona kuwa hakuwa kwenye right choice while mume ataona kwanini apate usumbufu ikiwa wanawake wapo wengi.......
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'

Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?

Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
 
Aisee we MTM, safari ya Tanga mbona uliniacha?

Mzee Yusuf kishapona?

Hii thread inanichokonoachokonoa vile. Maana mi bila vitatizo hayanogi yaani tangu niwe nae raha wiki mbili ugomvi wiki moja. Wonderful enough jana tu tumesolve lakin siku chache zijazo kitawaka. Sa mi sijui wana Jf mtanisaidiaje hapo cause i'm a victim.
 
Pole mwaya kuna viogomvi na ugomvi, sio ndo kila siku mnagombana mnakoseshana raha, na amani halafu useme ni vizuri hapana, lakini kuna ugomvi unatokea halafu mwisho unajikuta umejifunza mambo fulani fulani kutoka kwa mwenzako, ambayo ukiyafanyia kazi unajikuta umeimarisha penzi lako. Hebu angalia mwisho wa huo ugomvi wenu unabaki na nini moyoni?? Kinyongo? Kisasi? Majereha? Au furaha na akili iliochangamka?
 
vile vifundo,madoa huwa yanafunguliwa yote na utamu unaendelea au mbu akingata tu unarudia verse:msela:hawa inzi huwa tunafungulia wenyewe
 
Back
Top Bottom