Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,972
- 165,417
Huu mjadala nimeukuta mahali, eti ni kweli utamu wa mume muwe wanne?
Makubwa!!
Mtu aenda kabisa kununua hiyo khanga!! Inanifanya niwaze hao maproducer wa hizo theme huweka vigezo gani kuchagua theme aisee!!
Huu mjadala nimeukuta mahali, eti ni kweli utamu wa mume muwe wanne?
![]()
Ukute mkeo kakuvalia hiyo kanga, lazima utoke nduki