Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
lakini kashakula utam iyo niaibutu kashakula kashakula tu!!!!!
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Narudia kwa kusema kuwa: Sitetei tabia mbaya hii ya kutembea na mke/mume wa mtu, lakini imenikera kutembezwa uchi wa mnyama hadharani huyu mtu.
Ni kweli nilishaga onja .... Acha kabisa ni nomaaaa ila niliamua kuacha baada ya watu wangu wa karibu kinionya ila aise asikwambie mtu ile kitu tamu balaaa
Ndo maana mwanamke ukishakuwa wewe ni mke wa mtu ukishaona njemba inajisogeza kwa nia nyingine mbali ya kaka na dada unatakiwa ukae mbali na watoto, mara nyingi wanawake wa namna hii kama hana matatizo na mumewe basi lazima atakuwa alikuwa anam-entertain huyo mwanaume pamoja na kwamba ni mke wa mtu mwisho wa siku lazima utalegea tu kama binadamu. Mwanamke hata kama hujaolewa kama humtaki mwanaume ukawa unamwekea vikwazo lazima ataingia mitini tu though kuna wanaume wachache huwa ving'ang'anizi atakulia timing mpaka utaingia kwenye kumi na nane zake.
Ila mdau kuna wake za watu ving'ang'anizi mkuu we acha tu kama huna busara kila siku unaweza ukawa unafumaniwa, sasa kuna wanaume wengine wakijilengesha huwa hawatafakari ni kuwapa bakora tu. Huwa nawashangaa sana wanaowakataza wake zao wasifanye kazi kwa hofu ya kutokewa na mabosi wakati uswahilini wanatokewa na subordinate
Hapo umenena,pia appointment zao za uhakika moja kwa moja uwanjani.sio wengine mpaka mkae bar,beach,shopping ashibe ndio achague na hotel ya gharama.huoni jamaa asubuhi mapema kajiseviaHawana gharama, unaifaidi tu wa kununua sabuni na kuitunza yupo.
Kusema ukweli hata mie hua najiuliza sana! Kwa mfano nimfumanie shemeji yako...nita-deal na yeye au huyo niliemkuta nae. Na je...what if kawapanga kama watatu. Will I have the energy to deal with his every "kimada"..au ndio aliekamatwa na ngozi ndio mwizi style?? :A S 39:lakini kuna cha kujiuliza upande wa pili wa shillingi!!mfano akijiuliza tu "hivi mke wangu alirazimishwa?"-muda mwingine ni viherehere vyao na udhaifu wa mume wake!!
Kusema ukweli hata mie hua najiuliza sana! Kwa mfano nimfumanie shemeji yako...nita-deal na yeye au huyo niliemkuta nae. Na je...what if kawapanga kama watatu. Will I have the energy to deal with his every "kimada"..au ndio aliekamatwa na ngozi ndio mwizi style?? :A S 39:
Ila mdau kuna wake za watu ving'ang'anizi mkuu we acha tu kama huna busara kila siku unaweza ukawa unafumaniwa, sasa kuna wanaume wengine wakijilengesha huwa hawatafakari ni kuwapa bakora tu. Huwa nawashangaa sana wanaowakataza wake zao wasifanye kazi kwa hofu ya kutokewa na mabosi wakati uswahilini wanatokewa na subordinate
Hawana gharama, unaifaidi tu wa kununua sabuni na kuitunza yupo.
always vya wizi ni vitamu
jamani duh ameaibika sana mabinti tupo mtaani kibao mke wa mtu wa nini tena matatizo mengine yakujitakia tu ..... acha apate mshahara wake,...
Beautiful hot single ladies wako kibao mjini hapa, utachoka kuwahesabu...Mtoto unampa sincere care and affection na maneno matamu bila kusahau vi offer vya hapa na pale, utakula mzigo kama mkeo, utachoka/utakinai mwenyewe. Ukitangaza ku break up nae wengine wanakuganda haswa.