Utamu wa mapenzi ni hivi

Sema tu "mapenzi in its peak"! Subiri ss kigeuke!
 
Yapo tena zaidi ya hivyo, utahisi unaimiliki dunia yoye peke yako.
Kuna watu wanajua kupenda jamani acheni tu.
 
Raha sana, ila ukijitumbukiza roho, akili na mwili wote mzima mzima andika umeumia.
 

weka nambaa 5 iwe 1 na 1 iwe 5. ndo ntakuja kucoment. mgegedo is the 1st
 
nilikuwa sijui,ahsante kwa elimu.....
 
mapenzi ya kivivu hayo, wala siyapendi..
 
Mkiwa wote wawili sio wasaliti lol ni hatari isee
 
Utamu wa mapenzi pesa, we jishaue na hivyo vijisifa alafu mfuko umekauka uone kama hujakimbiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…