Utamu wa mahaba

Utamu wa mahaba

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Utamu wa mahaba umpate anae kupenda nawe ukampenda.mkapendana kama mapacha wa kufanana mkilia mnalia pamoja mkicheka nanyi mnacheka pamoja lakini co kwenye shida uko pekeyako kwenye raha mko pamoja hapo ujue unachunwa na kuna wanaomega embe dodo lalo kisela
 
Marehemu bibi yangu alikuwa akisema. 'Adui yako muombee apende asiye mpenda maana mateso yake'
 
Kwenye shida kila mtu adili na zake, ila kwenye raha tule pamoja...
 
Hivi kweli dunia ya leo kuna watu wangapi wanapenda wanapopendwa!
Mapenzi ni kama kucheza mduara. Umeshikwa kiuno na mwingine, ambaye na anaenjoy kushikwa na mwingine, we umemshika mwingine, anaenjoy lakini naye kashika wa mbele yake.... Hata haielezeki...
 
Ukinuna unataka tunune wote, ukilia unataka tulie wote,
Vita vyote tumepigana wote, kama kushinda tushinde au bora tufe wote,
Kama kulima tumelima wote, kupanda tumepanda wote,
kupalilia tumepalilia wote, aaaah!! Nashangaa mbona sasa hatuvuni wote?
:violin::bange::majani7::majani7::majani7::majani7::violin:
 
hahahahaha Tuko kweli jf iz a stress free zone hapo juu kuna ukweli kabisaaa
 
Last edited by a moderator:

yote yanawezekana
 
Ukinuna unataka tunune wote, ukilia unataka tulie wote,
Vita vyote tumepigana wote, kama kushinda tushinde au bora tufe wote,
Kama kulima tumelima wote, kupanda tumepanda wote,
kupalilia tumepalilia wote, aaaah!! Nashangaa mbona sasa hatuvuni wote?
:violin::bange::majani7::majani7::majani7::majani7::violin:

saudari hili joto hasira ambaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hivi bado yapo hayo mapenz ya hivyo. Mie mezoea kuyaona kwenye movie..........
 
Back
Top Bottom