Utamu wa mahaba

Utamu wa mahaba

Kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa

sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

wakwanza anamchuna wapili anazitafuna watatu ndo anamkuna
 
Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba.
 
Mapenzi kama hayo yanapatikana kwenye Movie tu"!
 
Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba.



Hakuna. Wote ni wale wale, bora liende!!"
 
Back
Top Bottom