Utamu wa kitumbua

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
Jaman sio siri kitumbua vitamu sana..tena mpishi awe msafi asiwe mchafu na asiviunguze sana viwe kati kwa kati yan vya brown na visiwe na mafuta mengi. Yani uchelewi kushiba,,hatari huwa vitamu sana
IMG-20151217-WA0009.jpeg
 
Mkuu achana na habari ya vitumbua yaan hata ambae hajawahi kuvila anavishobokea na akila haviachi maana utam wake hauna kifani aseeee....
Vitumbua vidogo ni vitamu sana kuliko vikubwa,kwasababu vidogo huiva vizur hadi ndani lkn vikubwa vingi vibichi ndani..mitaa ya kule Mwanza nyegezi kwa chini vyapatkana.kwa wingi
 
Mkuu achana na habari ya vitumbua yaan hata ambae hajawahi kuvila anavishobokea na akila haviachi maana utam wake hauna kifani aseeee....
tena usikubari kula kitumbua ndan ya mfuko hutokifaidi,,vito kwenye mfuko weka kwenye sahani anza kazi mwenyew utakubal
 
Back
Top Bottom