Utamu wa ijumaaa

Utamu wa ijumaaa

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Madadii na mashostito!!

Huwa napenda sana siku ya ijumaa. Inanikosha na kunipa utamu wa moyo kuliko anything in mylife.
Ni siku ambayo baada ya kazi nakua so relaxed.

Hata kama sitatoka out ninapumzika home nawatch series hata kama ni saa nane za usiku.
huwa nasahau kabisa stress za kazini, I become myself.

I love this day
I love jf on friday
I love you
 
Kumbe leo Ijumaa? wapi nyinda?
vivian kuja pande hizi aisee you will like the day than ever!
 
Last edited by a moderator:
mie naanza kuichukia ijumaa coz............jumamosi naamka muda uleule hata nikiwa nimelala saa nane usiku!
ya wapi haya!!!!
 
Back
Top Bottom