sukari yao
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 140
- 23
what? drop it okey,.... its enough...
we miss chagga unakataa kukununwa? halafu naona maombi mengi sana ya kukukuna humu MMU, kulikoni miss? it seem you are very delicious uhuhhhh!
what? drop it okey,.... its enough...
nahisi ningekuwa karibu ungeniwasha vibao
Miss chaga kwani sikio na kidole kipi kinaona raha zaidi mm naona sikio ndio huona raha zaidi kuliko kidole hasa likiwa linawasha
Kwani huwashwi...???
we miss chagga unakataa kukununwa? halafu naona maombi mengi sana ya kukukuna humu MMU, kulikoni miss? it seem you are very delicious uhuhhhh!
majukumu yanabana kiasi mpnz...hahhaa cheka tu shoga angu...halafu siku hizi huwa unapotea potea
au sijui tunapishana
ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni

Ukunaji upi mnaongelea jamani?
kichwani nadhani.....!?