Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Mkunwaji ndiye muona rahaa
mwimbaji hata simfahamu
Khadija Kopa!!!!!!!
Mkunwaji ndiye muona rahaa
mwimbaji hata simfahamu
Khadija Kopa!!!!!!!
Subhan allah
Hadija kopa alikua bado mtoto sana wakati kibao hiki kinaandikwa.... Hivyo hajaimba yeye.
miss chagga naomba nafasi ya kukukuna jamani
miss chagga naomba nafasi ya kukukuna jamani
mkunaji ndo anayeona raha siku zote.....
Subhan allah
Tatizo wakunwaji wengine wamezidi mash fanye nn kuna ganzi ya kudumu. Sasa hiyo kazi ya kulenga sehemu moja muda wote ni Sawa na adhabu.
Hivi wanaanziaga wapi vile?
Utaleta takbeer nyingi za kila namna maana humu jf muna baadhi ya watu wamepinda
Ha ha ha umenifurahisha we binti leo loh:smile-big::smile-big:ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
Mkunwaji nawe una wajibu wa kuelekeza panapowashaukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
Kwani huwashwi...???what? drop it okey,.... its enough...
Mkunwaji nawe una wajibu wa kuelekeza panapowasha
ha ha ha umenifurahisha we binti leo loh:smile-big::smile-big:
sikwambiagi kwani!!!!!