maichrim
Member
- Mar 11, 2011
- 76
- 40
ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
Dunia hii ya leo wakunaji wachache sanaaaa!
Kuna kilio kikubwa sana kipande iyo ya pili. Sijui ni hizi chips au kisukari