ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
Umeonaeeeeeeee, afu mtu anajisifia najua kumkuna.
ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
we mwanamke una fitna
Kukuna kwahitaji ujuzi..........
kama nazi inavyohitaji ujuzi wakati wa kuikuna...
Mkunaji anaweza kuwa mzuri ila anayekunwa sasa akawa tatizo! aingiziwe, atafuniwe na kumezewa yeye anataka kushiba tu!
Fitna yatoka wapi H.O.E mie!!!!!!!!
Heaven on Earthcjaelewa hapo kwenye bold
ni PM namba zako nianze uwekezaji bhasi.
ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
mkunaji ndo anayeona raha siku zote.....