Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

Aisee
dumb-ding.gif
 
Mwanamke anayekupenda na interest na wewe tu anafurahia sana kuwa na wewe karibu 😅 atatafta means muonane tu frequently na vizawadi zawadi lazma ajiongeze yani lazma ahakikishe mnameet at some point kwa bahari unamaliza chap!
Awe makini asiuze mechi. Maana Kuna vitoto vimezaliwa na ngwengwe. Bikra si hoja Kuna baadhi wamezaliwa nao
 
Ni kweli kabisa, hela za kuombwa hua ni kero ila akupendaye kwa kuwa anajua kero ya kuombwa hela hawezi taka hio kero impate barafu wa moyo wake😝 so hakuombi hela hadi umpe.
Basi huwa mnatake advantage ya kutokuombwa mteleze bureee 😂😂😂😂......ni sisi ndio tupo
 
Huu uzi umepata VIEWS elfu 1450 mpaka sasa ila comment ni chache sana

Nilichokiona hapa[ uzi ]

●kuna baadhi ya wanaume wamepoteza hali ya kujiamini tena asilimia 43.

●walio VIEW huu uzi asilimia kubwa ni wanaume inatia huruma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom