Utamtambuaje kama ni rijali?


Mbona kama umeweka mchanyato wa habari, ume beluwa beluwa tu..! Labda nasi tuibeluwe hivyo hivyo.!
 
hahaha mzima buheri wa afya njema sana bestito ulipotelea wapi mzungu wewe?

hili darasa naona limewachanganya sana bora nirudi kule SIASANI niendeleze KATIBA
SI UNAJUA TULITOKA WALE WAKIJANI WALITUBOA ?
ladyfurahia habari yako bhana! Mi cjambo wa afya njema!

Naona umefungua class kwa warembo wa Jf.

Waelimishe na Mungu akubariki!
 
Wewe belua tu usipate shida hapo halafu wewe kama unafanana na .................
mbona kama umeweka mchanyato wa habari, ume beluwa beluwa tu..! Labda nasi tuibeluwe hivyo hivyo.!
 
Hii mada ni implication in wadada wa Vatican ila si wadada wa Tanzania bara
 
hhahaaaaaaaaaaaa asante kwa kunimiss uko wapi wewe, unajua mambo ya wasapu ndo yametufanya tupotee kidg hapa hahahaaaaaa

Nipo bna
Humu napita pita kusoma tuu sio mchangiaji ssana
hayo mamb ya mitandao yametufanya tupotee humu kabisa
 
Nahisi bado inaendelea hapo maana ili ujue urijali wangu lazima tufanye practical pamoja.
 
Aujataja lijari anakuwaje umetaja aina za wanaume
 
Nipo bna
Humu napita pita kusoma tuu sio mchangiaji ssana
hayo mamb ya mitandao yametufanya tupotee humu kabisa
SASA ITABD TUTAFUTANE MKUU KWA UPANDE MWINGINE HEBU MTAFUTE VALLE AKUUNGE KWENYE GROUP LETU BASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…