Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Wakuu kuna suala moja jana litutatiza wakati tunapata moja baridi moja moto huku mkuu wa meza akiwa sebuleni huku akisindikizwa na ndizi ya mzuzu iliyorotiwa.
Mjadala wenyewe unasema 'Utamsamehe nani kati ya wake wawili'
Mmoja alitaka kumuua mme wake mme akajitahidi kujiokoa na akashinda baadaye m'ke akamuomba msamaha na kusema kuwa ni shetani alikuwa ametuma.
Mwingine alikuwa mhuni wakutupa yaani alikuwa haambiliki wala hashiki naye akaja kuomba msamaha kuwa ni shetani wa ngono alikuwa amemzingira hivyo ameacha.
Ijumaa njema.
Hapa kama kunawa kusamehewa ni shetani aliyeko ndani yao,waende kwa sheikh wakapungwe hayo mapepo!!
Namsamehe huyo wa pili, umalaya is the oldest profession in the World kwa hiyo anasameheka.
!QUOTE]
Masaki, Ukikuta mkeo anamegwa utasamehe?
Namsamehe huyo wa pili, umalaya is the oldest profession in the World kwa hiyo anasameheka.
QUOTE]
Masaki, Ukikuta mkeo anamegwa utasamehe?
Hiyo ya kumfumania anamegwa ni kesi tofauti na hii, au labda mada sikuelewa vizuri!
Hiyo ya kumfumania anamegwa ni kesi tofauti na hii, au labda mada sikuelewa vizuri!
it is the same thing, two wives, mmoja muuaji mwingine malaya.
safi sana paroko pj!busara mtindo mmojaWote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
Kama we ni mtu wa msamaha, na uwasamehe wote, ili mradi wameonyesha hali ya kutubu na kujutia wlichofanya awali.
Unajua kabla hujatuma thread yakupasa kutafakari,nimesema sheikh kwasababu hamna mkristu anayeoa wake wawili,ndio maana nikasema sheikh,huyu jamaa atakuwa muislam tuu,na ningumu kumpeleka madhabahuni!!Acha uongo hakuna shehe anayetoa mapepo, waende church ya walokole wakaombewe na mapepo yatawatoka.
Unajua kabla hujatuma thread yakupasa kutafakari,nimesema sheikh kwasababu hamna mkristu anayeoa wake wawili,ndio maana nikasema sheikh,huyu jamaa atakuwa muislam tuu,na ningumu kumpeleka madhabahuni!!

...Mazee Harua haina makombo bana!!Namsamehe huyo wa pili, umalaya is the oldest profession in the World kwa hiyo anasameheka.
!QUOTE]
Masaki, Ukikuta mkeo anamegwa utasamehe?
...Mazee Harua haina makombo bana!!
Dawa yake maji tu...
it is the same thing, two wives, mmoja muuaji mwingine malaya.
Hamna dhambi ndogo.