Utamsamehee nani kati ya huyu mke!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
Wakuu kuna suala moja jana litutatiza wakati tunapata moja baridi moja moto huku mkuu wa meza akiwa sebuleni huku akisindikizwa na ndizi ya mzuzu iliyorotiwa.

Mjadala wenyewe unasema 'Utamsamehe nani kati ya wake wawili'
Mmoja alitaka kumuua mme wake mme akajitahidi kujiokoa na akashinda baadaye m'ke akamuomba msamaha na kusema kuwa ni shetani alikuwa ametuma.

Mwingine alikuwa mhuni wakutupa yaani alikuwa haambiliki wala hashiki naye akaja kuomba msamaha kuwa ni shetani wa ngono alikuwa amemzingira hivyo ameacha.

Ijumaa njema.
 
Namsamehe huyo wa pili, umalaya is the oldest profession in the World kwa hiyo anasameheka.

Ila huyo mwenye ''shetani'' anayemtuma kuua kwa kweli hapana! Maana huwezi kujua ni lini tena ''shetani'' wake wa kutaka kukuua atamrudia!
 
Hapa kama kunawa kusamehewa ni shetani aliyeko ndani yao,waende kwa sheikh wakapungwe hayo mapepo!!
 
Acha uongo hakuna shehe anayetoa mapepo, waende church ya walokole wakaombewe na mapepo yatawatoka.
 
Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
Kama we ni mtu wa msamaha, na uwasamehe wote, ili mradi wameonyesha hali ya kutubu na kujutia wlichofanya awali.
 
safi sana paroko pj!busara mtindo mmoja
 
Acha uongo hakuna shehe anayetoa mapepo, waende church ya walokole wakaombewe na mapepo yatawatoka.
Unajua kabla hujatuma thread yakupasa kutafakari,nimesema sheikh kwasababu hamna mkristu anayeoa wake wawili,ndio maana nikasema sheikh,huyu jamaa atakuwa muislam tuu,na ningumu kumpeleka madhabahuni!!
 
Well understood. Apology man!
 
Unajua kabla hujatuma thread yakupasa kutafakari,nimesema sheikh kwasababu hamna mkristu anayeoa wake wawili,ndio maana nikasema sheikh,huyu jamaa atakuwa muislam tuu,na ningumu kumpeleka madhabahuni!!

Mkuu heshima mbele hii sredi haimanishi huyu mtu ana wake wawili ila ni sredi inayozungumzia scenario hiz mbili mfano mume aliyefanyiwa hayo mambo mawili mke anataka kukua ukakimbizana naye akashindwa baadae na kutumbu
Pili mke aliyekuwa malaya wa kutupwa yaani hashikiki walal hakamatiki na aktubu

nani kati yaho wewe kama mume unaweza kumsamehe?
 
Huyo aliyetaka kuua ni muuaji na huyo malaya ni muuaji pia, wote ni wauaji, kwani huyo
Malaya angemuua kwa magonjwa pia hivyo adhabu yao ni moja tu kusamehe wasamehe kama kuwabwaga wabwage wote.
 
Hakuna dhambi ambayo haisameheki unaweza kuwasamehe wote

Wabaya wa leo wazuri kesho, wazuri leo wabaya kesho

Rafiki leo adui kesho adui leo rafiki kesho..dunia uwanja wa fujo

Samahe endelea na kazi na furahia maisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom