Utamsaidiaje mwenye tatizo hili?

Utamsaidiaje mwenye tatizo hili?

Huyo mzee anakera ningekuwa mi ndo huyo maza
ningetanguliza zubeda lake la nguo nje afu nae alifate nyuma
na mateke juu pambaffff sana

naww nini? Mbona unatoka povu alaa! Kuwa mpole bhana ww hujui kwamba kuna mizigo na mafurushi?
 
Hao wamekutana viazi cherema! Huyo mwanaume asie na kazi, anashindwa nini kwenda kwenye shughuli za mkewe kumsaidia? Kuna dr mmoja wa udsm mkewe ni ticha na anapikaga keki. Yaani mama akimaliza kupika baba anatanguliza keki ukumbini, anazipanga afu anamfuata mkewe amlete harusini!

hamna ushauri hapo, timua mume na hgal wakaanze maisha mapya
 
Sasa kuna ugumu gani hapo? Si akalipe kodi kwingine akae na mwanae? Yeuwii! Hapo unasaka safari ya two weeks tu baada ya kubadilisha vitasa, ukirudi yeye na dada wameshajiju. Kuhamia nyumba ya urithi ni mwiko kabisaaa!
Kuondoka Ni Vigumu, Nyumba Wanayoishi Kapanga Mama Huyo Na Kod Analipa Yeye, Baba Anataka Warudi Kwenye Nyumba Ya Urith Ambapo Mama Hatak Anakwepa Mzigo Wa Familia Ya Ukweni,
 
Unajua kukimbia tatizo sio njia sahh ya kusolve tatzo huyo mmama angeoñgea na mding vzur then wataelewana tu "nothing it is imposible under the sun"
 
Hata kama huyo ni baba yangu itakula kwake.
 
Ingekuwa mke anafanya anayoyafanya mume tungesema limbwata ndio maana jamaa hasikii wala haoni - kumbe ni moyo wa mtu au niseme udhaifu wa mtu
 
Asa hapo najiuliza wale wanaowaambia wake zao wasifanye kazi na inatokea hali kama hiyo hapo nyumban wataishije
 
Back
Top Bottom