Utamsaidiaje Huyu????

Utamsaidiaje Huyu????

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
utamsaidiaje.jpg
No comment made:
 
Daaaaaaaaaaaaahhhh saudari na wewe huna hata huruma mwenzio unamuweka kwenye wakati mgumu hivyo?ila ningekuwa mimi ningemuomba israeli mtoa roho za watu amfikie fasta kabla hajaangukia mikononi mwa hiyo mihayawani afu ichekini inavyompigia mahesabu mtoto wa watu hadi huruma jamani.
 
Last edited by a moderator:
mh.. simple mbona hapo saudari.. anakula timing halafu anamdondokea mamba mmoja hapo mgongoni.. anamuendesha kama boti vile... au unasemaje wife Paloma..?
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi ningemuomba israeli mtoa roho za watu amfikie fasta.

Kwani umeambiwa mwenzako hataki kuishi?

Hebu niambia kama ingekuwa ndo wewe upo katika wakati mgumu kama huo ungefanyaje?
 
Mbona rahisi sana hapo...asubiri Nyoka afike karibu akimshamgonga na sumu ikisambaa mwilini, atakufa na akifa ataanguka na Mamba atamla huku hana habari kwa hio Simba ataambulia patupu.....hapo suala sio kuishi tena, ishu ya maisha hapo anatakiwa aisahau kabisaaaa, aniachie mkewe tu watoto awapeleke kwa saudari
 
Last edited by a moderator:
saudari kiukweli kabisa hali iliyopo hapo inatisha aiseee yaani labda muujiza tu utokee coz hakuna kwa kukimbilia so ingekuwa mimi ningeukabidhi uhai wangu kwa mweza yote tu basi vinginevyo unasubiri matokeo.na hiyo picha inareflect mambo ambayo kwa kweli yanatukuta maishani nyakati nyingine yaani unakuwa umezungukwa na vikwazo mpaka huoni maana ya kuendelea kuishi,daaaahhh so sad aiseeee.
Kwani umeambiwa mwenzako hataki kuishi?

Hebu niambia kama ingekuwa ndo wewe upo katika wakati mgumu kama huo ungefanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni ni miujiza tu mti wenyewe akizidi kubembea dakika 3 anaaenda nao kwa mambaz.nikumuombea mungu atende miujiza!
 
Nitamsadia kufikisha habari kwa ndugu jamaa na marafiki!
saudari nipe majina yake kamili...kwao wanasikiliza radio one ama zile za mshinani?
 
Last edited by a moderator:
picha inareflect mambo ambayo kwa kweli yanatukuta maishani nyakati nyingine
yaani unakuwa umezungukwa na vikwazo mpaka huoni maana ya kuendelea kuishi

Yaani sikutegemea kama na wewe ungeliona hili.
I think hiyo ndiyo maana halisi ya hii picha.
 
Hapo namwambia amkamate nyoka amtupe majini make ndo kiumbe ambacho anaweza kupambana nacho na akakishinda nguvu!
 
Back
Top Bottom