Na wewe unajiita mtu, mi nadhani wewe inaakili ya nguruwe
Usimlinganishe nguruwe na huyo jamaa,aliyemuumba nguruwe alitumia akili na maarifa sana. Kitimoto hakiwezi fanana na huyo jamaa.
jf matusi yanatoka wapi inapoteza maana ya jf tubadilike.
kumbe ndo wewe ulikuwa unauza karabga za mayai. Je unaendelea na hyo business ktaa mdada?nilikuwa mimi hapa...........
yaan wewe acha tu sijui ulikuwa wapi bhanaaaa.. huyo boya Rweyemamuu alikuja hapa akamwaga siri ya mtungi.....nkajua hutarudi tena kwa kuwa hukukanusha aliyoyasema.....mdada kwa kwel at ulipagawa na maswag yake ya mbele akakunaniii looooh......Rweyemamu lol umenikumbusha mbali weye