Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Utamruhusu mtu amfanye hivi mwanao? Yes or No!
Na hivi sasa tabia zakwe zipo sawasawa baada ya hizo experiment zenu?Ahahaha....! sisi tulimfanyia hivyo na zaidi mdogo wetu wa mwisho...asante Mungu alituepushia ajali! We did experiments nyingi sana kwa kumtumia yeye!!!
Ahahaha....! sisi tulimfanyia hivyo na zaidi mdogo wetu wa mwisho...asante Mungu alituepushia ajali! We did experiments nyingi sana kwa kumtumia yeye!!!
Kwani tatizo ni nini mkuu?Kutwa mnaiponda fcbk humu,lakini habari zenu kibao mnatoa fcbk mnaleta hapa,
Mkuu hii michezo unayomfanyia mtoto ni hatari sana na humtendei haki mtoto wako!Kawaida sana kwa mtoto aliyezowea. Kwa wanangu kawaida sana tu.
Kwanini mamake tu,huoni hatari kama ipo palepale?hapana. ni hatari, mamake tu ndo ataruhusiwa
Mkuu hiyo ni akili ya mnyama,binadamu hawezi kuwa na akili ya kijinga kama hiyo!Mama hana wasiwasi, si unaona ana mimba nyingine tayari!
Msemo wa masikini, 'tuzae wengi ili hata wakifa, wanabaki wengine'
Mkuu hatari ipo pale pale!nitamruhusu ila lazma awe m1 kati ya hawa wafuatao
1- BABAKE MZAZI
2- MAMAKE MZAZI