Utamruhusu mtu amfanye hivi mwanao? Yes or No!

Utamruhusu mtu amfanye hivi mwanao? Yes or No!

Mkuu binadamu ni viumbe wa ajabu sana, ulishauliza vijijini sababu za watu kuzaa watoto wengi wengi?!
Nililotamka ni ushuhuda!
Sina tatizo na idadi ya watoto!

Nashokataa mimi ni suala la kufikiri hata hakifa huyu mtoto hakuna tatizo kwa sababu nitazaa mwingine hivi karibuni!
 
Aah! mbona kawaida sana, mara kibao tu namrushaga sema sababu me ni mrefu.
 
y it was fun...si unajua mtoto akiwa mchanga anakuwa flexible. so tulikuwa tunachukua mguu wake tunauzungusha nyuma ya shingo.

tunampigisha sarakasi...n ol dat!!
Teh teh teh!angejua mliyokuwa mnamtendea kingenuka!
 
jubu kwangu ni YES kwani tunagombana na mama ya watoto kuwa itatokea ajali, nikifika tuu anataka arushwe juu sana!! naomba ubaki kuwa mchezo wangu na yeye dada yake asijaribu maana dah!
 
Ahahaha....! sisi tulimfanyia hivyo na zaidi mdogo wetu wa mwisho...asante Mungu alituepushia ajali! We did experiments nyingi sana kwa kumtumia yeye!!!

did you write a book?
 
Utamruhusu mtu amfanye hivi mwanao? Yes or No!

999018_434294163336020_471932841_n.jpg
Abstain!
 
Back
Top Bottom