Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Kwa msafara wa waziri Mkuu!
 
Vipi umeacha kamari?🤣🤣🤣
 
1751469542493.jpeg
 
N

ititamkumbuka kwa kusimama msikitini mbele ya membari siku ya ijumaa na kusema kuwa Magufuli ni mzima na anaendelea na kazi zake ilhali akijua kabisa kuwa ameshaaga dunia. Sitomsahau kwa kudanganya umati wa watanzania tena mbele ya kibla katika siku ya ijumaa!!!!
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Kwa uwongo huu. Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Mlitaka mumuone anatembea magomeni au Kariakoo?
 
Back
Top Bottom