Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,033
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
 
hakuna
 
Rais yupo Ikulu anaendela na kazi zake,mulitaka mumuone akiwa Magomeni ama Kariakoo.
Hapo akiwa kwenye membari ya msikiti anayokaa imamu kuswalisha na kutoa hotuba
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Kwa kumruhusu bwana MAFWELE AUE WATU.
 
Kufika mbele ya media.

Kuchukua MIC.

Kuanza kufoka.

Halafu HAKUNA cha maana kinachofanyika.
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Ameimaliza miaka kumi hana kashfa yoyote!
 
Raisi ni mzima wa afya
 
Mi nitamkumbuka kwa kuzuia kununu tela za malori nje ili wanunue za ndani ambazo ana hisa zake nyingi sana huko ..
Naomba niishie hapo
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Kwangu kitu cha kwanza kabisa ni kauli ya kwamba rais ni mzima anachapa kazi Ikulu. Wakati Magufuli anajifia kwa Mzena.

Hiki ndicho kitu atakachokumbukwa kwacho kikubwa kabisa kwangu.

Mengine yote ni ya ziada.
 
Back
Top Bottom