Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,648
Habarini za mda huu?

Niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana.

Twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu utamjuaje mwanamke au mshichana alietoa mimba hasa kwa Sisi vijana wabichi tunaotafuta wanawake wakuoa?

Naomba kufahamu wajuvi tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wameshindwa kukupa jibu ila am telling you zipo njia my dear brother nazo ni hizi hapa÷

°kama hujakuta bikra believe me kashawahi toa tena sio moja

°Ukiona mwanamke hapendi kula sana ugali trust me one of them

°Ukiona anapendwa sana na mama yake haa hujue hayo majanga mzee abortion happen

Progress not perfection
 
Hahahaa if she's not a virgin don't trust her on anything she tells you about her previous sexual encounters she had.

Asilimia kubwa ya wanawake walioanza kufanya mapenzi kuanzia miaka 16 baada kumaliza kidato cha nne, wengi wao mpaka wanapofika umri wa utu uzima yaani uzee unapoanza miaka 25 wananakuwa wametoa toa sana mimba angalau moja kwa wastani. Hasa hasa wale wasomi wasomi ndio watoaji wakubwa compared to their counterparts who they are or were not on schooling systems.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom