Salaam wakuu....
Kama title inavozungumza, nipeni maelezo au ni jinsi gani naweza kufanya ili kutambua SD Card original ninapotaka kuinunua?
Shukrani...
1. chukua Barcode yake search Google uone kama taarifa zinalingana na zilizopo kwenye kasha la hiyo card.
2. Angalia Transfer speed (Read/Write) iliyoandikwa kwenye kasha Mfano 10MB/s, halafu Test card yenyewe kwa kutumia software kama AOMEI kama kweli speed ni halisi 10MB/s
3. Linganisha bei na wauzaji wengine.
Inafanyaje kazi baada ya kuipakua, ili ikupe hizo leadingsDownload app ya sd insight play store itakuambia details za hio memory card, ukiona manufacture unknown Na vitu mbalimbali vimeandikwa unknown ujue Ni feki.
Unafungua tu app memory card ikiwa ndani ya simu.Inafanyaje kazi baada ya kuipakua, ili ikupe hizo leadings
Means unaiinsert,unascreen shot, unasomesha barcode au unatype a given#zilizo kwenye sd?~
Hii haifanyi kazi vizuriDownload app ya sd insight play store itakuambia details za hio memory card, ukiona manufacture unknown Na vitu mbalimbali vimeandikwa unknown ujue Ni feki.
Achana na app.Salaam wakuu....
Kama title inavozungumza, nipeni maelezo au ni jinsi gani naweza kufanya ili kutambua SD Card original ninapotaka kuinunua?
Shukrani...
Yap. Atest transfer speed.1. chukua Barcode yake search Google uone kama taarifa zinalingana na zilizopo kwenye kasha la hiyo card.
2. Angalia Transfer speed (Read/Write) iliyoandikwa kwenye kasha Mfano 10MB/s, halafu Test card yenyewe kwa kutumia software kama AOMEI kama kweli speed ni halisi 10MB/s
3. Linganisha bei na wauzaji wengine.
Unapo criticise kitu Ni vyema ukaweka ushahidi Wako kubackup maneno yako.Hii haifanyi kazi vizuri
Upo sahihi ila ushauri wangu na wako ni the same kwakuwa kinachohitajika ni kujaza file tu km memory ni Gb 1 unaweka kitu chochote chenye size hio then unafuata hatua zilezike kwahiyo wakifuata ushauri #4 na wako pia yote itafaa...Usi test kwa kuweka audio kama jamaa wa post no.4..Weka video tena nashauri weka MOVIE sio music video..ukishaweka movie kama 5 kutegemea na ukubwa wa memory husika CHOMOA then rudisha play hizo movie Ziki play ujue ni OG kama ni feki hazito play.
Hakikisha kama ni memory ya4gb AU 8gb ukijaza movie wakati wa kutest JAZA MPK MEMORY IJAE KABISA IWE FULL kisha ndio chomoa chomeka PLAY hizo movie ziki play bhas umeula.
OG ni nyingi siku hizi shida ipo kwenye SPEED yake tu..ila kama ni kwa matumizi ya kawaida na hujali habari ya speed bhas OG zipo 32,64,nk kwa bei ndogo sana huko madukani.
Feki nazo zipo nyingi so uchaguzi ni wako OG au FEKECHOOOOO
Upo sahihi ila ushauri wangu na wako ni the same kwakuwa kinachohitajika ni kujaza file tu km memory ni Gb 1 unaweka kitu chochote chenye size hio then unafuata hatua zilezike kwahiyo wakifuata ushauri #4 na wako pia yote itafaa...
sasa hayo unayoyaeleza mwenye duka atakuwa tu anakusubiri na vibweka vyote hivyoKabla hujainunua omba uijaribishe weka nyimbo au file lolote lenye Gb1 na kuendelea Kisha ichomoe hio Sd card Kisha rudisha Tena kwa mfano unaweka nyimbo 100 kwenye Sd card Kisha unachomoa halafu unachomeka Tena una play nyimbo za mwisho kabisa kadhaa zikiimba bila tatizo Basi hiyo haina shida ila Kama ni fake Basi zile nyimbo hazitocheza kabisa...
Mteja ni mfalme kama kweli anauhakika na bidhaa yake wala Hana shida atakuacha ufanye hivyo sababu ukiridhika na bidhaa Basi anaamini utakua barozi mzuri kwa wengine...sasa hayo unayoyaeleza mwenye duka atakuwa tu anakusubiri na vibweka vyote hivyo