Karibu sana JF, kuna kila watu wenye utaalamu na uwezo wa mada husika ulizo ainisha, Mungu akutangulie
 
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.

Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.

Asanteni sana.
Ms Fatma.
 
Sawa karibu
 
Back
Top Bottom