UTAMBULISHO

kwa majina kamili naitwa Wilson Mwalukasa jina la mitandaoni ni Wilson Kaiser Sr., unaweza nitafuta kwa jina hilo facebook na twitter kwa jina la Wilson Kaiser Sr. na instagram kwa jina la Wulkson.
Ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya nasomea shahada ya uhandisi wa majengo, maaji na barabara niko mwaka wa pili.
Pia ni mwanzilishi wa kampuni ya Wilson Kaiser Corporation na taasisi za kijamii Wilson Kaiser Foundation na Noela Care.
Napenda siasa na siasa ipo ndani yangu na nina mitazamo chanya ya kuliinua taifa hili.Nimeambatanisha picha yangu kwa atakaye taka niona.
Sio kwa majina, ni jina... Hata hivyo, karibu JF...
 
fb.
 
Humu hatujianiki ivo mkuu Hata walio na ID real za majina yao wanazo Fake pia kwa ajili ya kuwa Huru kuongea lolote BTW karibu Sana JF the home of Greater thinkers
 
kwa majina kamili naitwa Wilson Mwalukasa jina la mitandaoni ni Wilson Kaiser Sr., unaweza nitafuta kwa jina hilo facebook na twitter kwa jina la Wilson Kaiser Sr. na instagram kwa jina la Wulkson.
Ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya nasomea shahada ya uhandisi wa majengo, maaji na barabara niko mwaka wa pili.
Pia ni mwanzilishi wa kampuni ya Wilson Kaiser Corporation na taasisi za kijamii Wilson Kaiser Foundation na Noela Care.
Napenda siasa na siasa ipo ndani yangu na nina mitazamo chanya ya kuliinua taifa hili.Nimeambatanisha picha yangu kwa atakaye taka niona.
kumbuka pia ukitaka kuoa wachumba wanapatikana humuhumu
wapo warembo waliojaliwa kuwa hivyo

hivyo ukitaka kuoa tutakupa mke
uwe shemeji yetu
 
Karibu Wilson nimekupenda maana umekuwa mkweli na muwazi,na hata kutangaza kampuni yako kijanja kijanja
 
Back
Top Bottom