Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 28
- 75
Bibi yetu alikuwa na binti yake ambaye enzi za uhai wake hakuwahi kumjali bibi.bibi aliishi kusema nikifa usinivalishe nguo hata kunitazama hata kdg... Kulingana na upuzaji wa wanadamu.jana ilikiwa mazish ya bb tukaandamana wote.....
kwenda mochari ila ss wajukuu wakiume tulisubiri nje ratiba iishe. ila ghafla tukasikia ukunga, kulikon ten?tukauliza bb kafungua macho duh! tatiz nn tena mamako mdogo kaja karb na mwili na inaripotiwa kuwa bb alsema akifa asimsogelee hata kdg.