Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Ungekula mpaka kucha tajiri,..au ndio upole umezidi[emoji3]Hahah!!!kuna Dada nimekutana nae juzi tanga tukiwa ktk ukumbi wa harusi.Dada zuriiii White macho mzuri.Basi tunatoka nikampa Business card anitafute.Kanitafuta kweli kaniuliza mahali nilipo(hotel). Nimemtajia,swali lililofuata ndio likanifanya nimkatae,kumbe anauza uchi...Sikuwa na tatizo LA kumpa pesa lakini kitendo chakuuliza utanipa ngapi kilinifanya nione naenda lala na jitu LA hovyooooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zamu yangu leoooo wooiii..afu hivo vi emoj jomoniii vipanaa[emoji125][emoji125][emoji23]
Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba. Nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nkamwambia tuondoke zetu.
Akaniuliza ''utanipa sh ngapi?'. Nikamwambia wewe unataka sh. ngapi? Akasema hamsini, nikampeleka hadi kwake nikamtumia ile hamsini ila mpaka leo sipokei simu yake wala meseji.
Wanawake acheni hii makitu, K haiuzwi!
kaka yaani uko sahihi 100% ,mi sio fala eti unamvaa wema sepetu unataka iwe for free Ila yy angekuwa mpole mi naangalia nimpe nn so lazma ntoe hela naweza Mpa simu Kali ila akitanguliza mshiko namuona bitchMwenye nayo anauza wewe unasema haiuzwi unayo? Unajua ametumia gharama kiasi gani kuitunza hadi ukachanganyikiwa kumuona? Usifikirie tu K fikiria mwili wote ni kiasi gani kuutunza. Shida ni kudaiana pesa kabla ya mechi. Lakini akibipa kwa moyo na baada ya hapo akaniomba pesa nitampa kiasi chochote kulingana na uwezo wangu. Lakini kuwekeana masharti nitoe kwanza ndio atoe, hapo hapana. Tena napenda masuala ya pesa tuyaongee siku ambayo hatuna ratiba ya mechi kabisa. Hapo ndio natoa kwa moyo wote. Siku ya kugegedana ni nauli, vyakula na vimywaji basi.
Swadakta ,mdada muwazi km.huyo safi sana ,hapendi usumbufuThe only huyo mwanamke mstaarabu sana. Ameweka wazi mapema kabisa kwamba anauza na bei ni hii. Sasa kuna wengine hawasemi wanajidai maduu mkimaliza shughuli ndio anadai hio 50k na ukizingua anakujazia watu. Naomba namba yake ya simu.
Mkuu kwahyo alikuwa kwenye windoJuzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nikamwambia tuondoke zetu.
Akaniuliza ''utanipa sh ngapi?' nikamwambia wewe unataka sh. ngapi? akasema hamsini, nikampeleka hadi kwake nikamtumia ile hamsini ila mpaka leo sipokei simu yake wala meseji.
Wanawake acheni hii makitu, K haiuzwi!
Ila vijijin hata kutongoza hawajuiDuh laki halafu nashukuru,hapo ni mbali na chakula,vinywaji,lodge,nauli khaaaa....!
Tuna kazi kweli kweli wanaume wa dar,vijijini hakuna hii makitu,kule ni kupigana mitama tu teh teh
Wenzio wanawakula buree siku hizi ni kama simu unaweka mahela ndio unapiga.Hivi unawezaje ulale na mtoto wa watu bure ,ishu no usibargain
Very nicekaka yaani uko sahihi 100% ,mi sio fala eti unamvaa wema sepetu unataka iwe for free Ila yy angekuwa mpole mi naangalia nimpe nn so lazma ntoe hela naweza Mpa simu Kali ila akitanguliza mshiko namuona bitch
Wewe unanunuaje?Kama ulimlipa na haupokei simu wala kujibu jumbe inasaidia nini mkuu?
Halafu unanuaje uvimbe elfu hamsini???
Mimi siwezi aisee.....!
Ahahahah[emoji2] [emoji2] mkuu unaumiza muuzaji kisaikolojia au ulijiumiza mwenyewe tuMkuu tunatofautiana kipato hamsini nilimpa nakyuma niachana nayo ,ni kumuumiza tu kisaikolojia