Mwenye nayo anauza wewe unasema haiuzwi unayo? Unajua ametumia gharama kiasi gani kuitunza hadi ukachanganyikiwa kumuona? Usifikirie tu K fikiria mwili wote ni kiasi gani kuutunza. Shida ni kudaiana pesa kabla ya mechi. Lakini akibipa kwa moyo na baada ya hapo akaniomba pesa nitampa kiasi chochote kulingana na uwezo wangu. Lakini kuwekeana masharti nitoe kwanza ndio atoe, hapo hapana. Tena napenda masuala ya pesa tuyaongee siku ambayo hatuna ratiba ya mechi kabisa. Hapo ndio natoa kwa moyo wote. Siku ya kugegedana ni nauli, vyakula na vimywaji basi.Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nkachukua namba,nakiri nilimpenda balaa ,jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na Milo ya kutosha nkamwambia tuondoke zetu akaniuliza ''utanipa sh ngapi?'' hii nkamwambia wewe unataka sh ngapi akasema hamsini ,nkampeleka Hadi kwake nkamtumia ile hamsini ,mpaka Leo cipokei cimu yake Wala meseji shubamit ,wanawake acheni hii makitu k haiuzwi
Teh teh teh kijijini ukiwa na elf 20 unaoa
Ndio mkuu bila kusahau gunia la mahindi[emoji23]Unaoa mmoja unapewa na wa nyongeza
Dah nanihii yule staa anauza kwa milioni 2.Kama ulimlipa na haupokei simu wala kujibu jumbe inasaidia nini mkuu?
Halafu unanuaje uvimbe elfu hamsini???
Mimi siwezi aisee.....!
Kijiji gani hicho chakuoa kwa 20 elfu mkuuTeh teh teh kijijini ukiwa na elf 20 unaoa
Kishapu huko ndani ndani au manyovu hukoKijiji gani hicho chakuoa kwa 20 elfu mkuu
Mh, basi hicho kijiji raha haseKishapu huko ndani ndani au manyovu huko
sema hapo alizingua sana,hakujua wewe ni Tajiri mpoleHahah!!!kuna Dada nimekutana nae juzi tanga tukiwa ktk ukumbi wa harusi.Dada zuriiii White macho mzuri.Basi tunatoka nikampa Business card anitafute.Kanitafuta kweli kaniuliza mahali nilipo(hotel). Nimemtajia,swali lililofuata ndio likanifanya nimkatae,kumbe anauza uchi...Sikuwa na tatizo LA kumpa pesa lakini kitendo chakuuliza utanipa ngapi kilinifanya nione naenda lala na jitu LA hovyooooo.
Sana mkuu, yani kijijini raha sana tena unapewa mwali kabisa bado ana aibuMh, basi hicho kijiji raha hase
hahahaaa...Hahah!!!kuna Dada nimekutana nae juzi tanga tukiwa ktk ukumbi wa harusi.Dada zuriiii White macho mzuri.Basi tunatoka nikampa Business card anitafute.Kanitafuta kweli kaniuliza mahali nilipo(hotel). Nimemtajia,swali lililofuata ndio likanifanya nimkatae,kumbe anauza uchi...Sikuwa na tatizo LA kumpa pesa lakini kitendo chakuuliza utanipa ngapi kilinifanya nione naenda lala na jitu LA hovyooooo.
Usiseme kijijini sema hicho kijiji ambacho wanafanya hivyo maana mi navyojua kwenye suala la mahari kijijini ndo balaa na linitiliwa mkazo sana sasa ww sijui unazungumzia vijiji vya hapa tz au nchi tofauti na hiiSana mkuu, yani kijijini raha sana tena unapewa mwali kabisa bado ana aibu
Heineken ngapi hiyo dou babe..?!Ww ulimpenda mwenzio yupo kazini hakuna mapendo hapo zaidi ya biashara pole sana mkuu
Babe heineken 17Heineken ngapi hiyo dou babe..?!
Mzee huna roho ya pilato kabisaa wewee[emoji3]