Utalii wa Ndani Mbamba Bay, Ruvuma

the bidhaa

JF-Expert Member
Apr 4, 2022
257
702
Wakuu kwema? Kwa mwenye ABC za mji wa Mbamba Bay uliopo Ruvuma naomba anisaidie maana nataka nikaangalie fursa gani zinapatikana huko pia kufanya utalii wa ndani.

Gharama za kulala guest house au lodge.
Sehemu zenye msosi mzuri n.k
Vivutio gani vya utalii vinapatikana huko n.k

Asanteni.
 
Ebu chexki HAPA mkuu.

Napenda kuzurura ila Mbamba Bay sijawahi fikiria. Nasubiria mrejesho na ww ukienda mkuu.
 
Back
Top Bottom