Utakumbukwa milele Jane Mshana

Utakumbukwa milele Jane Mshana

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,156
Reaction score
985
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 tulipoonana kwa mara ya kwanza nkitoka kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu Mrs Swai akakuomba unipeleke darasani kwani kwani nilikuwa nimepangwa darasa la sita B... you became to be my best friend back nakumbuka pia tulikuwa tukikaa dawati moja tukawa tunajiita mr and mrs Macntosh.

Ukiwa Machame girls nlikuwa moshi tech na ukiwa Masoka mi nlikuwa mweka and still close.

I loved you ila Mungu amekupenda zaidi...R.I.P Jane Mshana you will be missed forever...
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 tulipoonana kwa mara ya kwanza nkitoka kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu Mrs Swai akakuomba unipeleke darasani kwani kwani nilikuwa nimepangwa darasa la sita B... you became to be my best friend back nakumbuka pia tulikuwa tukikaa dawati moja tukawa tunajiita mr and mrs Macntosh...Ukiw a Machame girls nlikuwa moshi tech na ukiwa Masoka mi nlikuwa mweka and still close..I loved you ila Mungu amekupenda zaidi...R.I.P Jane Mshana you will be missed forever...
RIP Jane Mshana!
 
pole kwa kumpoteza rafiki wa karibu.............r.i.p Jane Mshana
 
R.I.P Jane

Huyu ndo yule alikuwa crdb arusha? Nakumbuka kuna patient wangu mmoja nimemhudumia Arusha alikuwa anaitwa jina hili. Mara ya mwisho nilikutana naye clinic akiwa vizuri. R.I.P Jane
 
Mimekutana na watu pale Changbay Moshi jana wakiwa wanapata supu, wakielekea kumzika huyo mwanadada! Nilipoona picha yake hakuwa mgeni machoni kwangu!

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani, Amen!
 
Huyu ndo yule alikuwa crdb arusha? Nakumbuka kuna patient wangu mmoja nimemhudumia Arusha alikuwa anaitwa jina hili. Mara ya mwisho nilikutana naye clinic akiwa vizuri. R.I.P Jane

Clinic?
Jamani poleni wafiwa ......

mix with yours
 
siamini Jane, nakukumbuka sana, naukumbuka ule usiku uliponisindikiza KIA, bado nakumbuka, bado nakukumbuka wangu rafiki

1394162_596544713737532_2062722923_n.jpg
 
Ndio mkuu.
 
MMmhh, daktari gani asiye na maadili ??hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..
 
we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.

Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u
 
MMmhh, daktari gani asiye na maadili ??hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..

Tatizo lako unakurupuka. Siri gani niliyoitoa. Mgônjwa yeyote akipona si anapewa muda ahudhurie clinic ili kuona anaendeleaje na tatizo lililomkumba? Panua uwezo wako wa kufikiri ili usifikirie unidirectional. Na kwa taarifa yako umegundua kitu ambacho sicho.
 
Clinic?
Jamani poleni wafiwa ......

mix with yours

Kuna clinic za kisukari,hypertension, ujauzito, art, sickle cell, kansa, mifupa, ubongo,follow up after recovery nk. Msifikirie upande mmoja tu!
 
siamini Jane, nakukumbuka sana, naukumbuka ule usiku uliponisindikiza KIA, bado nakumbuka, bado nakukumbuka wangu rafiki

1394162_596544713737532_2062722923_n.jpg

This is the ône. Pole kwa ndugu na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wenu. Nimesikitika sana.!!
 
Back
Top Bottom