Tatizo lako unakurupuka. Siri gani niliyoitoa. Mgônjwa yeyote akipona si anapewa muda ahudhurie clinic ili kuona anaendeleaje na tatizo lililomkumba? Panua uwezo wako wa kufikiri ili usifikirie unidirectional. Na kwa taarifa yako umegundua kitu ambacho sicho.
Confidentiality ya marehemu imevunjwa mkuu huna cha kujitetea hapa.iwe ilikuwa clinic ya ujauzito,kisukari,Tb n.k kama wewe ni professional hukumtendea haki.